Kwamba kupiga watoto ni vibaya,mtoto kama asipokula matunda au mboga za majani,usimchape, ukimchapa atakuwa ana associate mboga za majani na kipigo alichopata,hivyo kumfanya akiziona tena mboga za majani anakumbukia maumivu aliyopata eventually atakuwa anaichukia sana mboga za majani.
Second kama mtoto hawezi hesabu darasani, pia usimchape wala kumsimanga kuwa ' huwezi hesabu 'ukifanya hivyo unampunguzia confidence atakuwa anajijengea image kuwa hawezi hesabu, hivyo atakwepa darasa la hesabu, mwisho atafeli na kujithibitishia haziwezi hesabu.
Kwa mtoto, akikosea unaonyesha disapproval ya alichokifanya na unamwambia kwa mfano, 'its OK, you have done well,but do better next time '
Unaweza kumnyima his favourite toy kwa muda,
Ama kumzuia asiangalie programme zake kwenye Television.
Mwisho msisahau kuwa reward watoto wenu pale wanapofanya vizuri.
he!!! Kumbe???Aisee ukiandika ukiwa umelewa noma sana
Wewe mimi natokea tandale na nilichezea sana midoli acha kufanya kitu simple kama hiki unaiweka km big deal.... Ndio mababa ,kununua kitu kama midoli kazi kwenu,ila kushinda bar mnaoona poa,badala ya kuspend quality time na watoto wenu, sifai kuwa mama ama not,sio lengo la hii mada usinizingue, km unaona topic imekuboa pita pembeni,Ukiondoa hiyo blue hapo... wewe hufai kuwa mama bora kule kwetu Mpitimbi.
Ukaolewe hukohuko Masaki ili maushauri haya upeane na mashosti wenzako kina Mange Kimambi, Shilole na Lulu.
Hivi 'favourite toy' kwa mfano huku Tandale kwa Mtogole utalinunua kwa ajili ya nini kwa mfano??
hebu kuweni wamama wa asilia wa kiafrika, acheni kuiga mambo ya wazungu ambayo hamuyawezi...
No theory (educational) applies everywhere. Unachokisema ni sahihi kwa mazingira hayo uliyonayo.Kwamba kupiga watoto ni vibaya,mtoto kama asipokula matunda au mboga za majani,usimchape, ukimchapa atakuwa ana associate mboga za majani na kipigo alichopata,hivyo kumfanya akiziona tena mboga za majani anakumbukia maumivu aliyopata eventually atakuwa anaichukia sana mboga za majani.
Second kama mtoto hawezi hesabu darasani, pia usimchape wala kumsimanga kuwa ' huwezi hesabu 'ukifanya hivyo unampunguzia confidence atakuwa anajijengea image kuwa hawezi hesabu, hivyo atakwepa darasa la hesabu, mwisho atafeli na kujithibitishia haziwezi hesabu.
Kwa mtoto, akikosea unaonyesha disapproval ya alichokifanya na unamwambia kwa mfano, 'its OK, you have done well,but do better next time '
Unaweza kumnyima his favourite toy kwa muda,
Ama kumzuia asiangalie programme zake kwenye Television.
Mwisho msisahau kuwa reward watoto wenu pale wanapofanya vizuri.
Na kweli acha nipite pembeni, japo huwezi kunilazimisha. Kama mama mwenyewe unatuhumu wanaume tunashinda bar, wakati mwenyewe unaandika thread ukiwa umelewa..... mama chapombe nani anamtaka kwa mfano??Wewe mimi natokea tandale na nilichezea sana midoli acha kufanya kitu simple kama hiki unaiweka km big deal.... Ndio mababa ,kununua kitu kama midoli kazi kwenu,ila kushinda bar mnaoona poa,badala ya kuspend quality time na watoto wenu, sifai kuwa mama ama not,sio lengo la hii mada usinizingue, km unaona topic imekuboa pita pembeni,
Aisee ukiandika ukiwa umelewa noma sana
Nataka kufanya mpango wa kufuta threads zangu na kusepa
Again pita pembeni,unashinda baa, ukiambiwa kuhusu toy unanguruma eti ni ya watoto wa Masaaki,mmmnh wonders shall never end, afu kunijua,ama hunijui,sidhani kama linanibabaisha.Na kweli acha nipite pembeni, japo huwezi kunilazimisha. Kama mama mwenyewe unatuhumu wanaume tunashinda bar, wakati mwenyewe unaandika thread ukiwa umelewa..... mama chapombe nani anamtaka kwa mfano??
Na kwanini unataka ufute threads zako?? Si tushakujua wala usiwe na shaka.
Mimi nnashinda baa nikiwa nakunywa maji, wewe unaanzisha thread ukiwa umelewa. Nani bora kati yetu??Again pita pembeni,unashinda baa, ukiambiwa kuhusu toy unanguruma eti ni ya watoto wa Masaaki,mmmnh wonders shall never end, afu kunijua,ama hunijui,sidhani kama linanibabaisha.
Nilichokua nataka kusema, kuna njia nyingine watoto wanaweza kujifunza, njia ambayo iko harmless, labda kuna wengine wamejifunza through viboko,but some of them wamekuwa traumatised for life,muulize mwanao kama kuna mwalimu anamchukia na kwa nini,kama sio yule anaetandika viboko, na wengine kufeli yale masomo ya walimu wakali, things have not to be this way..No theory (educational) applies everywhere. Unachokisema ni sahihi kwa mazingira hayo uliyonayo.
Biblia mpaka ikaandika,usimnyime mtoto........haikukosea ndugu. Kuchapa kupo ndugu,wengine wamechapwa sana ndio maana wanamafanikio makubwa hapa tz. Magu mwenyewe kachezea fimbo vya kutosha tu.
Mmnh tunaingia kwenye ubora Sasa?!what next?? Eti unashinda unakunywa maji?!really?! What about kununua toy kwa mwanao??! Ah!nimekumbuka ni wa Masaki tu ndio wanapaswa kuwanunulia watoto wao toys... MnhhhhMimi nnashinda baa nikiwa nakunywa maji, wewe unaanzisha thread ukiwa umelewa. Nani bora kati yetu??
Mwanafunzi/mtoto anaechapwa akajisikia vibaya ni yule aliyechapwa kwa kuonewa otherwise mtoto/mwanafunzi hawi na kinyongo kabisa.Nilichokua nataka kusema, kuna njia nyingine watoto wanaweza kujifunza, njia ambayo iko harmless, labda kuna wengine wamejifunza through vituko,but some of them wamekuwa traumatised for life,muulize mwanao kama kuna mwalimu anamchukia na kwa nini,kama sio yule anaetandika viboko, na wengine kufeli yale masomo ya walimu wakali, things have not to be this way..