Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

I maneno ya marehemu ila soma lyrics hizi kabla ya majuto mjukuu I remember the day I called mama on the telephone I told her mama I'm getting married I could hear her voice on the other side of...
4 Reactions
13 Replies
13K Views
Mm naitwa John maiko naishi kinondoni mkwajuni mm ni maji ya kunde mrefu saiz mwembamba saiz natafuta mchumba awe mweup mwembamba saiz mrefu acwe na na mtoto wa mwenyeji Tanga Mbeya Moshi awe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna binti namfukuzia lakini kila nikitupa ndoano zangu ananiambia yeye kwa sasa hayuko tayari kuwa na mtu yeyote coz mwanaume aliyekua anampenda kuliko chochote amemsaliti hivyo hataki kuwa na...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Jamani nimepokea simu ya malalamiko ya shemeji yangu, mke wa rafiki yangu akilalamika hali ya maisha yao na kibaya zaidi anatamani akatoe mimba ya mshkaji kisa jamaa hana kazi. Yeye ndo kaajiriwa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama hukua bikra imekula kwako. Wenyewe waliokutangulia wakitaka wanakula vitu kama kawa.Juzi nimekutana na wangu wa zamani. Tulipotezeana baada ya kumaliza chuo. Ameolewa na anaishi huko mkoani...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Kuna dada yangu aliolewa na ameishi na mume wake kama miaka 6 hivi wamebahatika kupata watoto na wako na mali nyingi sana kwa kweli, sasa juzi kumetokea mgogoro kati yao juu ya mali. Mume...
0 Reactions
77 Replies
5K Views
Mimi ni msichana wa miaka 20 nipo Chuo Kikuu mwaka wa kwanza lakini nilitokea kuanzisha mhusiano na Mwanaume nikiwa form three. Nampenda na nimekuwa mwaminifu kwake toka nilivyoanzisha mahusiano...
4 Reactions
92 Replies
9K Views
Wakuu habari za mishughuriko.. Bila kupoteza muda naomba ushauri wenu, najua humu ndani kuna madaktari na wenye uelewa juu ya afya ya uzazi. Nina ujauzito wa miezi minne, awali ya hapo ujauzito...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Upo na Mwanamke mwenye tabia za uongo, kutoa mambo ya ndani kuyapeleka kwao ,chako chake ,na chake chake, bila kujari mna familia, Kama umewahi kukutwa na hali kama hili ulitatuaje? Chukulia...
2 Reactions
57 Replies
4K Views
Habarini za muda huu wadau wa MMU, Ni story ndefu kidogo ila naomba mmivumilie tu ili mnishauri vizuri. Mimi ni kijana ambaye nina elimu ya shahada ya kwanza ambayo niliipata takribani miaka 6...
13 Reactions
80 Replies
11K Views
Habari za asubuhi ndugu zangu Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu ni kwamba nimekuwa nikipendwa sana na wake za watu. Sielewi suala hili niliite ni Tatizo au bahati ama Mkosi kwa maana...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Habari za jumapili Nikiwa hapa Tanzania (kama watoto wa mjini unavopaita) nilibahatika siku moja kumtembelea rafiki yangu mmoja tuliosoma wote chuo. Kufika tu japo nilikaa kama saa 4 nilijua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wadau wangu wa ukweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!! Ndo nimeingia na mada tamutamu leo ninawafunda wadada/wamama/waadogo zangu na wenzangu ambao kwa namna moja ama nyingine wamejisahau...
4 Reactions
97 Replies
17K Views
Mambo zenu GT Natafuta mchumba ikiwezekana aje kua mume. SIFA ZANGU MIAKA: 23 ELIMU: Degree RANGI: Mweusi KIMO: Mfupi DINI: Muslim NB: Sina chura nina chunusi nina maziwa makubwa...
5 Reactions
211 Replies
16K Views
Hili suala ni kweli na sio utani,naombeni ushauri, Kuna ndugu yangu tuko nae hapa Dar, wakati akifija Dar alifikia kwangu kama 2 years ago,na jamaa ni fighter kinoma anasaka noti kama katumwa na...
2 Reactions
66 Replies
8K Views
Naomba msaada wenu, Nimemnunulia Huawei y6 pro ya 300000 nikiwa na maana anikubali mapema je, niripoti polisi kuwa imeibiwa maana e-mail na kila kitu ninacho, nimejarbu kublock kwakutumia e-mail...
1 Reactions
157 Replies
12K Views
Mara ya kwanza nilienda baada ya yule mwandani wangu kumpiga Hii ya jana ilikuwa kali. hapa kwangu ninapokaa tupo majirani na wana watoto ila mimi nakaa kibachela. huwa nina tabia ya kutokupika...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
nimepishana nayo huko fesibuku,nikaona si vibaya nikiishea hapa MMU. NB:kwa sisi wanaume,ukikuta mke wako au mdada unayetarajia kumuoa ka-post ujinga kama huo fb/instagram utamuweka ktk kundi la...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Nilikutana nae barabarani nikavutiwa nikaomba namba nikawa katika process za moja ya mbinu zangu za law of attraction (am not in needy sana nilijifanya), nimechoka sana asubuhi nilikutana na huu...
12 Reactions
101 Replies
13K Views
Kuna swali lina nitatiza je kinachotufanya tuingie kwenye mahusiano ya kimapenzi? ni kugegedana au kuna la ziada?
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Back
Top Bottom