Nisipojiangalia kwa hili nahisi sintoshuhudia uchaguzi mkuu wa 2020

General Galadudu

JF-Expert Member
Nov 7, 2015
1,868
2,200
Kama mtakumbuka nilwahi kuwaambia ya kwamba kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 nilikuwa miongoni mwa wajumbe wa kamati ya ushindi ya mheshimiwa mmoja hivi ambae alishinda na hatimae mzee wa matabasamu akampa u~naibu waziri wa wizara flani, pia mwaka 2015 nilikuwa na nafasi hiyo hiyo na yule mgombea wetu alishinda tena yule na mzee wa mapushapu akamtunuku uwaziri wa wizara moja nyeti.

Familia yake na yangu zikazidi kuwa marafiki, haikuwa ajabu cku za wikiendi mke wa yule mheshimiwa kuja kushinda kwangu au wife wangu kwenda kwake, na kama itatokea ivo basi ucku lazima twende klabu kucheza mziki wa bendi wote wa3 mimi, yeye na wife..... cku1 wife akanipa habari ambayo haikuwa rahisi mimi kuiamini, aliniambia "usimuone ivo dada happy (sio jina lake lakini) ana matatizo kwny ndoa yake yanayompa mawazo sana,

Analalamika kuwa mume wake amekuwa bize sana na wapiga kura wake kiasi kwamba huduma ya migegedo imekuwa adimu kwake, akaniacha hoi aliposema jamaa aliomba papuchi huku amefurahi cku matokeo ya ubunge yalipotoka akiwa ameshinda tena kwa kishindo na mara ya mwisho ni cku aliyotoka kuapishwa kuwa waziri....... niliwaza sana juu ya hilo nikajisemea moyoni kwamba "nitalichunguza hilo" maana najiamini kwny suala la uchunguzi niko vizuri kama majasusi wa ki Israel.

Cku moja ktk story za hapa na pale nikabadili maongezi ghafla 'hivi mbona cku hizi nakuona kama umepoteza furaha yako" hiyo mbinu ni nzuri sana ukiitumia kumuuliza mwanamke kitu cha kweli kuhusu yeye tena umuulize huku umemkazia macho, akastuka kdg halafu akauondoa haraka sana ule mstuko usoni pake lakini macho yangu makali ya kijasusi yakawa yameshanasa kitu, nikamtania:-

Yani cku hizi umekuwa una mawazo meeeeengi hadi ule urembo wako umeanza kupotea taratibu. Akaniuliza kwa aibu kdg usoni.... kwann unasema ivo, nikamwambia ni hisia za moyo wangu ndo zimekuona ivo.... akajiumauma pale akikosa cha kuongea, nikahama fasta nikawaambia wajiandae tutoke.

Wakati tupo kwny mtoko akanitumia sms anasema 'naomba wikiendi ijayo kama hautajali unisindikize sehemu flani, lakini tumuache bi mdogo (huwa anamuita ivo wife) nikajua hapa tayari kuna habari, nikamkubalia..... siku moja kabla ya cku ya ahadi akanikumbusha tena huku akiniambia niage kwa wife kuwa nasafiri.

Kweli tukasafiri tukihamia mkoa wa jirani (si anatumia li VX, hakutaka twende na dereva wa familia tuliendesha sisi wenyewe) huko tuliongea mambo mengi sana tena mazito juu ya matatizo yake na akanishukuru sana kwa mimi kuanzisha kumuuliza maana siku nyingi alipanga kuniomba ushauri juu ya hilo lakini alikosa pa kuanzia.....

maongezi yalikuwa mareefu sana na mimi nikimsihi ajitahidi kuwa mvumilivu tu maana kila jambo huwa lina mwisho wake na wakati mwingine nikijifanya mwanasaikolojia kumjenga kiakili, jioni tukarudi akanishusha kwny baa moja hivi.

Wakati nakata maji pale nikaanza kuyapitia upya yale maongezi, nikaendelea kung'amua mambo mengi tu, lakini mwisho wa yote nikaona kwamba sina namna ya kumsaidia kwa maana ya kwamba siwezi kumvaa jamaa na kumuuliza hizo habari angeona kama vile mke wake anatangaza mambo yao ya ndani..... nikaachana nalo,lakini naona cku hizi kama vile amebadili gia kama!!

Wakati mwingine ananikaribisha chakula cha mchana kwake huku akisema eti anajisikia vzr kuniandalia chakula yeye mwnyw kuliko kiandaliwe na hg, cku moja akasema anatamani nae kutumiwa sms nzuri za kimahaba kama ninazomtumiaga wife (kuna siku alikuwa anaangalia simu yake na akaenda hadi kwny sms akazikuta nyingi tu)

hii ya juzi ndo kali zaidi aliposema eti nimsindikize sehemu akafanyiwe masaji maana hajickii vzr au kama naweza nimfanyie mimi maana mafuta anayo! nilimshangaa kimoyomoyo tu halafu nikatoa udhuru sikwenda nae, yani mambo yamekuwa meeeeengi hadi nahisi kuwa huyu ananitengenezea mazingira nimgegede.....

Nahofia sana kutekeleza hilo kwa maana yanaweza kunikuta makubwa sana likiwemo la kupotea bila kujulikana ulikoenda (kama yule bwana watch 8)halafu baada ya muda flani ukaokotwa ukiwa umenyofolewa kucha, umeng'olewa meno kwa plaizi nk. Kwa hiyo wadau juu ya hili naombeni ushauri wenu tu namna ya kukwepa kumgegeda bila kuharibu mahusiano yetu, maana wazo hilo sjawahi kuwa nalo kichwani

Naomba kuwasilisha.
 
Kama mtakumbuka nilwahi kuwaambia ya kwamba kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 nilikuwa miongoni mwa wajumbe wa kamati ya ushindi ya mheshimiwa mmoja hivi ambae alishinda na hatimae mzee wa matabasamu akampa u~naibu waziri wa wizara flani, pia mwaka 2015 nilikuwa na nafasi hiyo hiyo na yule mgombea wetu alishinda tena yule na mzee wa mapushapu akamtunuku uwaziri wa wizara moja nyeti.

Familia yake na yangu zikazidi kuwa marafiki, haikuwa ajabu cku za wikiendi mke wa yule mheshimiwa kuja kushinda kwangu au wife wangu kwenda kwake, na kama itatokea ivo basi ucku lazima twende klabu kucheza mziki wa bendi wote wa3 mimi, yeye na wife..... cku1 wife akanipa habari ambayo haikuwa rahisi mimi kuiamini, aliniambia "usimuone ivo dada happy (sio jina lake lakini) ana matatizo kwny ndoa yake yanayompa mawazo sana, analalamika kuwa mme wake amekuwa bize sana na wapiga kura wake kiasi kwamba huduma ya migegedo imekuwa adimu kwake, akaniacha hoi aliposema jamaa aliomba papuchi huku amefurahi cku matokeo ya ubunge yalipotoka akiwa ameshinda tena kwa kishindo na mara ya mwisho ni cku aliyotoka kuapishwa kuwa waziri....... niliwaza sana juu ya hilo nikajisemea moyoni kwamba "nitalichunguza hilo" maana najiamini kwny suala la uchunguzi niko vizuri kama majasusi wa ki Israel.

Cku moja ktk story za hapa na pale nikabadili maongezi ghafla 'hivi mbona cku hizi nakuona kama umepoteza furaha yako" hiyo mbinu ni nzuri sana ukiitumia kumuuliza mwanamke kitu cha kweli kuhusu yeye tena umuulize huku umemkazia macho, akastuka kdg halafu akauondoa haraka sana ule mstuko usoni pake lakini macho yangu makali ya kijasusi yakawa yameshanasa kitu, nikamtania:- yani cku hizi umekuwa una mawazo meeeeengi hadi ule urembo wako umeanza kupotea taratibu. Akaniuliza kwa aibu kdg usoni.... kwann unasema ivo, nikamwambia ni hisia za moyo wangu ndo zimekuona ivo.... akajiumauma pale akikosa cha kuongea, nikahama fasta nikawaambia wajiandae tutoke.

Wakati tupo kwny mtoko akanitumia sms anasema 'naomba wikiendi ijayo kama hautajali unisindikize sehemu flani, lakini tumuache bi mdogo (huwa anamuita ivo wife) nikajua hapa tayari kuna habari, nikamkubalia..... siku moja kabla ya cku ya ahadi akanikumbusha tena huku akiniambia niage kwa wife kuwa nasafiri.

Kweli tukasafiri tukihamia mkoa wa jirani (si anatumia li VX, hakutaka twende na dereva wa familia tuliendesha sisi wenyewe) huko tuliongea mambo mengi sana tena mazito juu ya matatizo yake na akanishukuru sana kwa mi kuanzisha kumuuliza maana siku nyingi alipanga kuniomba ushauri juu ya hilo lakini alikosa pa kuanzia..... maongezi yalikuwa mareefu sana na mi nikimsihi ajitahidi kuwa mvumilivu tu maana kila jambo huwa lina mwisho wake na wakati mwingine nikijifanya mwanasaikolojia kumjenga kiakili, jioni tukarudi akanishusha kwny baa moja hivi.

Wakati nakata maji pale nikaanza kuyapitia upya yale maongezi, nikaendelea kung'amua mambo mengi tu, lakini mwisho wa yote nikaona kwamba sina namna ya kumsaidia kwa maana ya kwamba siwezi kumvaa jamaa na kumuuliza hizo habari angeona kama vile mke wake anatangaza mambo yao ya ndani..... nikaachana nalo,lakini naona cku hizi kama vile amebadili gia kama!!

Wakati mwingine ananikaribisha chakula cha mchana kwake huku akisema eti anajisikia vzr kuniandalia chakula yeye mwnyw kuliko kiandaliwe na hg, cku moja akasema anatamani nae kutumiwa sms nzuri za kimahaba kama ninazomtumiaga wife (kuna siku alikuwa anaangalia simu yake na akaenda hadi kwny sms akazikuta nyingi tu) hii ya juzi ndo kali zaidi aliposema eti nimsindikize sehemu akafanyiwe masaji maana hajickii vzr au kama naweza nimfanyie mimi maana mafuta anayo! nilimshangaa kimoyomoyo tu halafu nikatoa udhuru sikwenda nae, yani mambo yamekuwa meeeeengi hadi nahisi kuwa huyu ananitengenezea mazingira nimgegede.....

Usioneshee kukwazika ila unapaswa kumfundisha yeye mbinu za kufanya awe sawa kwa Mme wake kama kumuandalia mr vyakula vya kumuongexea nguvu lakin na yeye ajitahid kuwa mtundu kitandani
 
kula mzgooooooooooo
 
Back
Top Bottom