Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Kuna utafiti nimeufanya miaka ya hivi karibuni kuwa asilimia 80 ya wadada wengi ukishaanzisha nae uhusiano nae kitu cha kwanza anachofanya ni kukutangazia shida zake uweze kumsaidia.
Kitu ninachojiuliza je ni kweli wadada wengi huamini kuingia katika uhusiano ndio njia pekee ya kumaliza shida walizo nazo
Na je inawezekana wadada wengi maisha hivi karibuni maisha yamewachanganya kuliko wanaume