elyza
Senior Member
- Oct 9, 2016
- 155
- 326
Wakuu habari za weekend?
Upweke unachosha kwakweli natamani kupata mume lakini kwa kufuata kanuni za biblia. Mwenye uzoefu au mbobezi please naomba msaada.
Maisha ya upweke yamenichosha sana. Wanaume wengi tu wananifuata lakini niwale ambao wanadhani kwa sababu ya nafasi zao kifedha wanaweza nipata.
Kifupi nahitaji mume ambaye siwezi kujutia kuwa naye, yule ambaye Mungu amenipangia.
Wadau najua hapa kuna wengi wenye ndoa zao plz nipeni uzoefu.