Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,211
- 3,082
habari zenu!!!
Ameoa miaka mi3 iliyopita na kabla ya hapo alibahatika kupata watoto watatu kutoka kwa wanawake tofauti....tatizo alilonalo kwenye ndoa yake hii ni mke wake kumkimbia baada ya kushindwa kumpa ujauzito.....tatizo hili limemtokea baada ya kuugua kisukari kwa muda...mke wake anataka amfuate kwao ili akamtengenezee dawa au akubali ndoa ivunjike...anahitaji ushauri afanye nini kuhusiana na tatizo hili..