Kweli mapenzi huumiza lakini kufikia hatua ya kufa kwa ajili ya mwanamke ni UBOYA wa daraja la kwanza. Labda kama kuna kurogana, ila handsome kabisa huyu alikosa nini duniani hapa ambapo hata ukiamua kuwa nao saba ni juu yako. Kwanza mwanamke mwenyewe alikuwa HAMPENDI na akathibitisha hilo kwa kwenda kwa jamaa mwingine. Kilichomuua huyu mura ni fedheha labda. Ila si kosa lake, alikosa mwalimu mzuri wa maisha na mahusiano akayavagaa mambo kwa pupa ni bwana mdogo tu wa 1990.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.