Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanawake nataka kujua mnawezaje kuishi nao wanaume wasiokunywa pombe sababu mimi wanaume wa type hiyo huwa nawachukulia kama wanawake. How do you cope with them. But don't judje me. Ni...
0 Reactions
83 Replies
9K Views
Leo katika pita pita zangu maeneo ya gym khana, Aga khan nilimuona mdada/mama mwenye umri kati ya 39,38 amebeba beseni la mihogo kichwani na mfuko wa maembe na ukizingatia siku kama 3 au 4...
7 Reactions
107 Replies
19K Views
Wikiend hii mitandao ya kijamii ilijaa post inayomhusu kijana mmoja aliyejinyonga kwa ajili ya mdada aliyemtambulisha katika barua yake kama Rose. Kwanza nakemea vikali vijana wenye akili za...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari wana mahaba wa JF. Leo nawaleteeni kisanga cha kushangaza kama si cha kuchanganya. Kuna brother mkazi mpangaji maeneo ya sinza hapo ambaye yupo vizuri kwenye kipato chake anaishi na mkewe...
17 Reactions
225 Replies
22K Views
Amani iwe kwa wote wana MMU. Ni mara chache sana naweka mada jukwaa hili kwa sababu ninazingatia kuwa ni vema kuwa na jambo lenye mashiko na sio kuandika lolote jambo. Nimejaribu kuchunguza...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani mapenzi hayaishi vioja. Jana nilikuwa na rafiki yangu mmoja tukapanga tukale bata mitaa flani mida ya mchana hivi nikawasha gari yangu mpaka eneo husika ile kushuka tu kwenye gari rafiki...
0 Reactions
80 Replies
8K Views
Katika mapenzi naamini ili mambo yaende sawia inabidi kuwe na feelings / hisia kati ya wapenzi hao maana hilo uwepo wa hisia utasaidia hata ushiriki wao katika tendo la ndoa. Swali; Inakuwaje...
2 Reactions
63 Replies
6K Views
Wanaume wa kizungu wakapata jambo la kusikitisha wanalia hawaogopi kuonyesha hisia zao kwenye watu wengi wanalia. Wanajua kulia ni dawa. Wanaume wa Tanzania hawalii wanaogopa kuonekana sio...
16 Reactions
156 Replies
23K Views
Habari wakuu Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, nimejiajiri mwenyewe (namiliki stationery & duka la miamala ya kifedha i.e tigopesa). Natafuta mwanamke ambaye kweli yuko tayari kuanza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Usiishi na Mpenzi wako utadhani wewe ni TANESCO, yaani Mpenzi wako hana pa kupata Umeme zaidi ya Kwako...Jitahidi kuwa karibu na Mpenzi wako Kimawasiliano kadri uwezavyo. Penzi bila Close...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Naombeni ushauri, Mimi mume wangu simuelewi kabisa. Historia kwa ufupi iko hivi nilianza kuishi na mume wangu mwaka 2010, kitendo cha kubeba ujauzito mwanangu wa 1 alifurahi sana. Kipindi cha...
6 Reactions
173 Replies
15K Views
Habarini, Mimi ni kijana wa kiume nipo Kanda ya ziwa (jijini) baada ya kukaa kwa muda bila mpenzi sasa nahitaji mwanamke atakaye kuja kuwa mama watoto wangu, umri wangu ni miaka 27 elimu degree...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Nikiwa home nakuwa mtu wahasira siongei na mtu napooza sana yani mpaka kero na nikitoka home nakuwa fresh kabisa hivi mnaweza kunisaidia nini tatizo hasa
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Huu Ndio Upasuaji wa kurudisha Bikra Kwa Mwanamke Unavyofanywa ..!!!! bikra ni nini? hii ni ngozi laini sana inayofunika uke kwa wanawake ambao hawajawahi kushiriki ngono kabisa, kikawaida...
4 Reactions
31 Replies
10K Views
Ujumbe huu uwafikie vijana na wazee ambao muda huu wameshika kamba, panga , sumu, silaha ya moto, panadol au chochote unachotaka kutumia kuondoa maisha yako kisa mpenzi wako amekuvunja moyo na...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
USHAURI TU KWA KINAKAKA (TAKE IT OR LEAVE IT) UNAPOANZA UHUSIANO MPYA EPUKA WANAWAKE WA AINA HII 1.MSICHANA WAKO WA ZAMANI Ni vizuri kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye mahusiano...
4 Reactions
35 Replies
8K Views
Idk if its normal au vipi but nina shida moja ya u-antisocial...yet sijui ni u-antisocial exactly au uvivu tu unanisumbua. Yani nakua mzito sana kutoka,utakuta nna appointment na mtu and...
2 Reactions
65 Replies
5K Views
My best couple ever. Mwanamke, unajisikiaje mwenzio akikuonesha mapenzi makubwa kiasi hiki bila kuogopa macho ya watu? Busu la mwisho White House.
19 Reactions
82 Replies
8K Views
Mambo, Natafuta mchumba baadae awe mke rasmi, elimu yangu ni shahada ya kwanza ya Siasa na Utawala (Ba.PSPA-UDSM) Kazi yangu Kwa sasa najihusisha na KILIMO. Kwa maelezo zaidi PM
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Usijenge urafiki na starehe wakati shida ni jirani yako, hakuna tuzo za ngono zaidi ya ukimwi. Jipange m2 wangu maisha ni magumu na umri haurudi nyuma, wazuri ni wengi lakini yupo umpendae zaidi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom