Heshima zenu wakuu....
Hapa jukwaani kila uchao kwa asilimia kubwa ya thread zinazoanzishwa na wanawake ni za malalamiko na za kutaka ushauri juu ya ndoa zao.Wanawake hamjajiuliza kwann ndoa huwa...
Donald and Melania Trump dance at the inaugural ball in Washington after the new president signed his first orders at the White House. Photograph: Michael Reynolds/EPA
Heri ya mwaka mpya wana MMU
Leo nimeona niongelee hii tabia ya baadhi ya wanawake kunyanya au kuwatesa watoto wa waume zao wa waliozaa nje,wametengana wazazi au wazazi wamefariki wao wakaolewa...
Habari zenu wadau bila shaka mko poa,,
kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu,,
Nilikua na tabia mbaya sana kwa marafiki zangu bila kujali maumivu wanayopata moyoni ,,,
rafiki akinitambulisha...
Hi there,
Pls take it from me and have a good luck.
1. Success is not sexually transmitted, so stop sleeping with successful men and work hard.
2. Please do not wear the same weave for nine...
*Stress ni pale umeenda kijijini kwa bibi ako huku umebeba jeans zako tano zile ja mtindo wa kuchanika (chanika jeans) sasa siku ukazifua ukazianika ukaenda zako kutembea ile unarudi jioni...
Nawasalimu wanajamii,
Nina miaka zaidi ya 20 nipo chuoni hapa Dar mwaka wa kwanza.
hadi ninapoandika haya najiona nipo single kwa maana kwamba hakuna msichana ninayemregard kama girlfriend...
BY DAYAN MASINDE
Pride and ego is often seen as a negative; but in the right place and in the right amount, pride is actually a good thing.
1. Pride is what makes a man work hard and...
Hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mnyenyekevu, hata ungekua umemkosea nini, ukijishusha ukanyenyekea analainika labda awe na mapepo ndio unyenyekevu wako hautagusa moyo wake.
Mume ama mpenz...
Habari za sasa hivi wakuu,
Napenda kuchukua nafasi hii kuwasihi wanaume waache tabia za kuwalaghai mabinti angali bado wadogo ili watimize haja zao, sio vizuri.
Unamkuta mwanaume anamlaghai...
Katika viumbe ambao imeniwia tabu sana kuwaelewa ni Wanawake. Hawa viumbe maskini sijui wameumbwaje jamani. Sio msomi wa PhD wala mjinga aliyefeli darasa la Nne Kingunge primary wote ni walewale...
Mimi nina mke wangu tuna miaka kama nimetoka tuoane ndoa ya kanisani, mwanzoni mke wangu alikuwa mtulivu sana ila baada ya kupata mtoto visa vikaanza nilikuwa nakaa na mtoto wa dada yangu...
Hii mimi ishanitokea mara kadhaa hasa unapotongoza mtu huku ukiangalia body language yake huoni heri yoyote, inabidi tu ujiongeze.
Vipi kwako mdada hii unaionaje, au ndo inakuwa nafuu ya...
Habari ndugu wana JF,
Naamini ni wazima wa afya njema huku mkiendelea na majukumu yenu ya kila siku ya kutafuta mkate wa kila siku, bila kupoteza muda hebu twendeni kwenye maada kuu.
Mimi ni...
Miaka yote ya umri wangu since nimemature nimekua nawasikia wasichana wakiwa na dhana ya kuhisi kua wao ni chombo cha starehe kwa wanaume.
Wasichana wanapenda sana kusema utanichezea utaniacha...
Ni matumaini yangu mu wazima nyote.
Hiki ni kisa cha ukweli na kinaniweka njia panda. Huyu ndugu yangu wa kiume alikuwa na mpenzi wake ila baada ya wazazi (Mama) kumuona huyu Binti hawakuridhika...
Jamani leo ngoja tujibrekishe kidoogo, lakini tuumizevichwa kimuziki
Nimegundua nyimbi kibao zinazoelezea jinsi wanawake wanavotunyanyasa/sumbua kwenye mapenzi
Tukichukulia kwamba wanamuziki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.