Nifanyeje ili niweze kuishi bila kujihusisha na maswala ya mapenzi mpaka ntakapotimiza malengo yangu

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
4,824
5,587
Habari zenu wana jukwaa wakubwa shikamooni.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22.Nimwanachuo mwaka wa pili. Nimetokea kwenye familia yenye uchumi wa Kati, sijabahatika kulelewa na wazazi wote wawili kwa sababu wazazi Wangu walitengana nikiwa na miezi minne kutokana na kwamba wazazi wangu walipeana mimba wakiwa bado shuleni familia ya mama ikamlazimisha baba amuoe mama lakini mwishowe baba alishindwa kumuhudumia mama maana alikuwa bado anawategemea ndugu zake ndo ikabidi afukuzwe. Kiukweli mama yangu alitaabika sana kipindi hicho baba alimtetekeza na kukimbilia Dodoma apo ndo mawasilianao yalikatika. Ila nachomshukuru mungu wazazi wangu wote wazima na wananihudumia kwa ushirikiano japo hawako wote kama mke na Mume.

Nawapenda Sana wazazi wangu vijana baba ana miaka 39 na Mama 38.Baba yangu alioa mwanamke mwingine nna wadogo zangu watatu kwa upande wa baba ila kwa Mama niko mwenyewe maana Mama hakuwahi kuolewa tena wala kuzaa mtoto mwingine na sijawahi kusikia stori yeyote inayohusu kuwa katika mahusiano. Mama yangu tangu anizae maisha yake hajawahi kuwa mazuri pamoja na juhudi zake zote alijitahidi kujendeleza kimasomo ukubwani japo aliishia njiani na sasa hivi ni mjasiriamali mdogo apo bukoba mjini.

Sasa nije kwenye mada yangu mimi katika umri wangu nimebahatika kujua mambo mengi nikiwa mdogo likiwemo swala la mapenzi. Mara ya kwanza kujihusisha na mambo ya uhusiano ilikuwa darasa la tatu ndo mara ya kwanza naandika barua ya mapenzi na kukubaliwa alinifundisha Kaka yangu mtoto wa Mama mkubwa ambaye tuliishi wote kwa bibi.

Mchezo ulianzia apo nimejikuta mtu mzinzi kupitiliza nimefanya uzinzi sana hadi imekuwa too much nachomshukuru mungu Sina ukimwi ila mambo yamapenzi yamenisababishia visa vingi ambavo imekuwa kero na tabu Sana kwa mama pia ilipelekea hadi wakati mwingine maendeleo yangu darasani kutokuwa mazuri.

Mpaka hivi sasa nina mtoto mmoja ambaye familia inamtambua na mimba niliyombebesha mtoto wa watu ambayo bado ni Siri yangu. Kutokana na hayo nimrkaa nkakata shauri sitaki kujihusisha na mambo ya mapenzi mpaka nitimize Malengo yangu kwa sababu zifuatazo
1.Nimemletea kero nyingi Sana mama nahitaji kubadilika
2.asilimia kubwa ya wasichana na wanawake wanaonizunguka nimetembea nao.
3.Natumia mda mwingi na pesa kufanya ngono.
4.Nimegombana na rafiki zangu na ndugu kisa kutembea na wapenzi wao katika mambo ya kusaidiana najikuta mwenyewe.
5.Uaminifu kwa watu umekuwa mdogo
6.Nawaza Sana ngono kuangalia porn kuliko mambo ya kujenga
7.Imefikia kila mwanamke anayekuwa karibu yangu naona niwakuzini naye jambo ambalo lishaniletea ugomvi na watu.

Yapo mengi Sana siwrzi yaeleza yote ila Naoma ni mda wangu wa kubadilisha maisha yangu. Ndoto yangu kubwa ni kumwinua mama yangu kutoka kwrnye Khali ya umadsikini alionao. Nimejitahidi kuokoka kuwa karibu na watumishi wa mungu naona mwendo ni uleule.

Hivyo basi ndugu zangu kwa ayo machache naombeni ushauri maoni na mawazo nifanyeje niepuke hiyo dhambi mm kijana wenu
 
Duh. Wewe una pepi. Kata hiyo chululuuu
 
Upo stage ya kwanza;umejigundua una tatizo.,Nenda hatua nyingine...lichukie tatizo na amua kubadilika.Nafikiri wewe ni mtumwa wa ngono wala sio mapenzi
 
Kweli akili yangu inawaza uko tu nkimwona tu mwanamke tayari nshamchora kifikira kifuayacho
 
Wewe unajua unachokifanya tena makusud kabisa unajua vitu vinavyokufanya uwaze ngono ni hizo pornographic pictures lakini bado huachi unataka tukushauri nn wakati mchawi wa maisha yako ni ww mwenyewe suala la kubadili tabia ni maamuzi tu kama ukiamua kubadilika utaweza usijihusishe na vitu vitakavyo kuchochea kufanya izo vitu halafu tafuta mmoja muaminifu ili akuweke bize usiwe na macho mengi
 
Kuna theory moja inasema mtoto ata anza kujihusisha na mapenzi kwenye umri sawa au karibu na ule wazazi wake walipoanzia.........naona story yako imenipa nguvu kidogo ya kuamini hiyo nadharia.

Mkuu tukiwa wakweli hapo huwezi kustopisha hilo game, hapa ni aidha ungonoke au unyetoke.

Njia nyingine ya kuepuka ngono ni kula mara moja kwa siku bila kushiba[nadhani hii njia tuwaachie watawa na makasisi]

''Anyone can avoid sex completely whole of his/her life if and only if his/her parents did so''
 
and if wazazi wasingefanya then jamaa asingeexist, that simply means we cant live without sex
 
duh unamtoto alafu unajidai unataka kutimiza ndoto zako ulikuwa wapi kuwaza hivyo mapema ilo limekupata mdada pole yake ww endelea tu kuacha mlango wazi wala usijisumbue kufunga eti ili utimize ndoto ulisha chelewa before
 
M mwanaume sio mwanamke
 
Hakuna njia yeyote ya kufanya zaidi ya wewe na nafsi yako kuamua, Amua kutokufanya ngono au amua kuwa na mahusiano rasmi, heshimu wanawake kama viumbe wenye thamani wanaohitaji kuheshimiwa na mwanaume, heshimu hisia zao (Hata kama atakusaliti, jifunze kusamehe na kutokulipa kwa usaliti), Fikiria zaidi masomo na maisha yako ya baadae. Amini hilo unalofanya si jambo sahihi na hupaswi kulifanya. Mshirikishe Mungu katika maombi yako.
 
Back
Top Bottom