Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 299,615
- 752,043
Nimeishi maisha mengi nimeona mengi nimefanya mengi nimekutana na mengi. ......kuna watu wanaitwa wafujaji siwazungumzii hawa....kuna wabinafsi Chao Chao chako pia chao...kuna wabahili wanacho kingi lakini kutumia kids go tu wanaugua kabisa...hawa pia sio
Halafu kuna hawa ndugu zangu na mimi yani kwao wakizipata na kuzitumia wanajisikia vizuri sana...wao hawana yule mupe yule muruke...ni kaliba fulani ya watu waliojaaliwa roho ya ukarimu wa ajabu kabisa...yani kwao wao kuwa na milioni kisha kuitumbua na kampani ni kama kumsukuma mlevi.
..hujisikia vizuri sana na faraja kubwa moyoni wakiona zinateketea live...hiki ni kipaji usijaribu kukiiga utajikuta sero
Angalia kipaji chako ni kipi kisha kitendee haki ila kama chako ni kama hiki pole