Mapenz ni kumpata mtu sahihi.
Baby I know the story
I've seen the picture
It's written all over your face
Tell me, what's the secret
That you've been hiding
And who's gonna take my place
I...
Let's say kuna mwanaume ana rafiki wa kike. Anamnpeda na anampa sana attention, na yupo willing kumsikiliza na kumsaidia shida zake kwa kadri ya uwezo wake kwa wakati.
Lakini atajuaje kuwa huyu...
Wana MMU habari ya wakati huu,
Najua mko poa sana.
Nawaletea kwenu story ya kweli kabisa inayomuhusu msichana mmoja anayeitwa Victoria mwenye umri wa miaka 30 sasa, huyu binti alikuwa anaishi...
Naitwa Ahmady niko Dsm, mwaka jana nikiwa field nilitokea kumpenda msichana ambae nae alionesha dhahiri kwamba ana mapenzi ya dhati kwangu kwani vitu vingi alinifanyia kwa muda mchache ambao...
Wakuu Hili ni Tatizo?
Nipo Na mpenzi wangu. Hajawahi hata siku moja Kuniomba mchezo Yaani hadi mimi nijisikie ndio niombe,.Nashindwa kumuelewa. Pia anaonekana hana hamu kabisa . Nifanyeje?
Habari wana JF,
Kiukweli nashindwa kujielewa,tangu nihisi mume wangu ana michepuko sina hisia nae kabisa. Sijui hata nifanyaje na ninaishi nae ndani.
Wadau nipeni mawazo.
Habarn wana jf.
Bila kupoteza muda ni mwez sasa toka nimeleta post humu ndani kuhusu uyu mwanaume alienisaliti kumbe alikuwa anamke na mtoto huko kwao...
Sasa ni hivi toka juzi mwanaume hatuliii...
Nimesoma mada nyingi humu jinsi wanaume wanavolalamika kipindi ambapo wake ama wenzza wao wako katika kipindi cha ujauzito wanavowasumbua kila uchao.
Sasa kwa upande wangu mimi nasema...
Swalamah wakuu,
Kwa wataalamu wa hii idara naombeni mnishauri nitumie njia gani kuwasiliana na mchepuko wangu bila wife kushtukia???
Nilitumia simu kwa kupiga tu nikadakwa.
Nikatumia njia ya SMS...
Kuna jamaa angu bana anapata shida sana,
Amepanga chumba kimoja mitaa ya temeke yeye mkewe na mtoto,sasa mtoto wake ni wa kiume na amekua ana miaka 3 sasa na amesha pata uelewa na issue za...
Kuna mdada hii ni mara ya pili anakuja police kwa hajiri ya kumshitaki mwanaume anae ishi nae, kisa cha juzi jamaa kaenda kunywa badae kampigia mpenzi wake simu nataka kula ugali samaki na mtindi...
Eti ni kweli kama kuna msichana amewahi kudo na mwanaume ambae hajatahiriwa akido na mwanaume alietahiriwa hafeel raha yoyote?
Kama ni kweli basi wanawake waandamane kudai utamu wao waliopunguziwa?
Hiki kipande mshawai kukichana then mkakisahau mkaja kufumwa??? Ni kipande kidogo sana ila kina madhara na kukisahau ni rahisi.. Ushauri.. Ukichana pakti usikiondoe kbs, kiache kinaninginia..
Wewe mwanamke unagundua mumeo ana mchepuko badala ya kudeal na mumeo unaleta fujo kwa huo mchepuko hivi unajua mumeo alimsumbua huyo dada wa watu kiasi gani ili tu amkubalie kwanza wengine hata...
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.
Mwanaume ninaemuhitaji...
Mwanaume mwenye uhitaji wa kuwa na mke naomba aje private tuzungumze ili tujenge maisha, mimi ni mwajiriwa serikalini sector ya afya, umri 28 karibu sana, kama hauko na malengo ya mke usjisumbue...
1. Hana kazi lakini anaishi maisha ya hali ya juu kwa sababu ya kuishi kiujanja ujanja na ni mtu wa kujirusha kila weekend na maeneno anayokwenda ni ghali na hupendelea kukaa sehemu ya watu...
Inahitajika ubunifu wa hali ya juu wa mtu binafsi kuanzisha mahusiano,kutafuta wenza na jinsi ya kukubaliana maisha yaendeje...Hii njia ya sasa ni ya kurithi nadhani kwa nyakati hizi imepitwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.