Amani iwe juu yenu,
Mimi binafsi nilioa mapema sana katika harakati za kutuliza michepuko. Nilioa nikiwa kidato cha pili, hadi nafika cha nne tayari nilikua na mtoto mkubwa tu na hadi namaliza...
MAMBO MATANO (5) YA KUFANYA NA MTOTO AKIWA AMEBAKI NYUMBANI ANAUMWA.
Kuna wakati inatokea mtoto anaumwa inambidi asiende shule angalau siku moja au mbili ili apone. Bila shaka mzazi atahakikisha...
Salam,
Yaani kwa kweli Maneno yanayoongelewa na wake zetu juu ya kosa la Msando ni Gharama kubwa sana kwetu sisi wanaume wote.
Kuna mahali nimesoma wanasema Msando kushuka kwenye range kapanda...
Wadau habari zenu,
Poleni na majukumu ya kila siku,
Leo nimeamua kushare na nyie tabia ambazo naona zimeendelea kukita mizizi katika maisha yangu ya kila siku. Nimekuwa mtu wa kutokujali mambo...
Nikiwa chuo kuna binti mmoja mrembo kweli kweli alikuwa anawatolea nje vijana wengi. Kila aliyejitahidi kumtongoza aliishia kupigwa vya mbavu. Sasa kitu kinachonifanya nishindwe kumsahau hadi leo...
Mods karibia nyuzi zangu mnazifungia sijui kwa nini? any way ila ntaendelea kuwachapa hawa watu mpaka wabadilike.
habari MMU
Kuna baadhi ya memba wa kike humu jukwaani nawashangaa sana...
Alikutana na wewe ukiwa kijana kabisa, ukiwa ndiyo unayaanza maisha ndani ya chumba kimoja na kitanda tu.
Unamkumbuka yule mwanamke, yeye alikua bado anaishi na wazazi wake lakini alijitahidi...
Habari
Hapa MMU kumekuwa na tabia ya baadhi ya memba ku-tag-ana wakati mtu anashida ya ushauri.
Wengine wanaenda mbali sana mpaka kuitana mashemeji, ba' mdogo, wifi, mjomba nk. unakuta uzi...
Kuna dem tunasoma nae chuo. Hii semester ya 2 namtongoza. Naenda room kwake nayey anakuja kwangu. Naweza shinda nae hata siku 2 mfululizo. Hajanipa jibu halisi ila huniambia kila siku subiri...
Wanabodi habari,
Jana narudi job jioni nmefika zangu home nakuta wife karudi toka kazini kwake anakaangiza nikaingia chumbani baada ya mda nikatoka kwenda dukani nikaacha simu kitandani basi wife...
Kama unajijua uu miongoni mwa wenye tabia ya kupenda kuopoa "visu vikali"karibu kwenye kila kumbi za starehe especially night club, basi hii habari inakuhusu.
Mchizi mmoja ambaye jina lake...
How to Arouse Girls
Arousing women isn't rocket science, but it can be an art. To arouse women, you have to strike the perfect balance between being aggressive and coy in order to set the right...
Hivi nyie munashindwa kutafuta pesa wenyewe hadi munakuwa kama omba omba,MTU nimekujua dk mbili tu unaniambia una njaa ww VP kwa iyo mm mpishi,Mara Ohoo sina vocha uza simu ukanunue vocha ,muna...
Nina Uhusiano na Bint Mmoja takriban miez mitatu nampenda lakin anadharau huwa ni mtu asiyejal hata kama nikiwa naumwa yeye anajal yake ila yeye akiumwa ss unaeza sema umegeuka house girl....Ila...
Habari wana uzi wenzangu natumaini tu wazima na tunaendelea kutekeleza majuku yetu ya kila siku, nawasalimu sana;
Nimekuwa na mahusiana na mwanamke mwaka sasa, ni mzuri mcha Mungu, ana kazi yake...
Je nyimbo gani nzuri huwa unaiskiliza mara kwa mara hasa nyakato hizi za usiku inakupa Usingizi mubashara""'
Kwa upande wang" Jim Reeves:Put ur sweet lips closer to the phone huwa naiskiza mida...
Mapenzi hayana umri sawa
Mapenzi hayachagui kabila sawa
Mapenzi ni kikohozi sawa
Mapenzi huchepuka kokote sawa
Lakini sio wote muwe wafupi
Lazima mmoja aende hewani zaid ya mwingine
Na mwanaume...
Siku za karibuni kumekuwa na wimbi la wanaume wanaohitaji wadada wa kuzaa nao tu. Husema " wewe zaa, nitamchukua mtoto".
Hivi wanaume wa dizaini hii akili zao huwa zimekufa ganzi?
Karibuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.