ytara jr.
Member
- Feb 6, 2014
- 61
- 22
Kuna dem tunasoma nae chuo. Hii semester ya 2 namtongoza. Naenda room kwake nayey anakuja kwangu. Naweza shinda nae hata siku 2 mfululizo. Hajanipa jibu halisi ila huniambia kila siku subiri kwanza. nikijaribu kumtomasa hakubali kabisa. Mara nyingi anapokuja kwangu huvaa mapensi ya jins. Najaribu kutumia kila njia nashindwa kwani tunashindana hadi anakasirika naamua kuacha. Najiuliza 'Hiv huyu dem hana hisia au?'
Mara kwa mara anafuatilia mwenendo wangu. Anachunguza cm kila siku. Nani kapiga, sms picha nk.
Mara nyingine hupenda kutembea na mm public tukiwa tumeshikana mkono. Na huwaambia rafiki zake 'huyu ni shemej yenu' Nikimwangalia usoni hutabasam tu. Nukimwambia ni jinsi gani ananiumiza hunambia subiri.
Nshalala naye kitanda kimoja x2 hadi asubuhi. Akiamka huenda bafuni, anaoga anakuja anabadl nguo na kujipamba. Mimi pia hufanya huvo mbele ake.
Nikimgusa huja juu na kushindana na mm. Nakumbuka nna alama 2 alizoning'ata kwaajili hiyo.
Kwa ufupi naweza kufanya nae chochote ila sio ngono. Na tangu naanza kumfuatilia sijaona kama ana mtu. Ila popote twaweza kwenda pamoja, issue kusex.
Kiukwel madem wa kwetu siku ya kwanza husumbua ila huyu, BALAA.
Nishaurini.