Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Kama unapata wakati mgumu wa kumuomba mumeo au mkeo mzigo mwambie hivii, 'Baby, amka tulale'... Hapo atakuwa amekuelewa...
hata mimi nilipoona tittle nikawa interested kufungua nikiwa nategemea kukuta amerekebishaSasa MUME/MKE unapataje wakati mgumu kumuomba mzigo?
Akisema ameshiba?Kama unapata wakati mgumu wa kumuomba mumeo au mkeo mzigo mwambie hivii, 'Baby, amka tulale'... Hapo atakuwa amekuelewa...
Hata kwa ishara tu anaelewa yanSasa MUME/MKE unapataje wakati mgumu kumuomba mzigo?
HahahahahNjoo tuunganishe vikojoleo
bila shaka wewe, hilo neno tulale wewe umeliona kama tukaleAkisema ameshiba?
Kweli aisee nimesoma kwa haraka sanabila shaka wewe, hilo neno tulale wewe umeliona kama tukale
Njoo tuunganishe vikojoleo
Nimeipenda hiyoNjoo tuunganishe vikojoleo
Mh aisee Husna, hii imekaa kibabe sanaNjoo tuunganishe vikojoleo