Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,797
- 6,795
Mods karibia nyuzi zangu mnazifungia sijui kwa nini? any way ila ntaendelea kuwachapa hawa watu mpaka wabadilike.
habari MMU
Kuna baadhi ya memba wa kike humu jukwaani nawashangaa sana. Utawasikia wakisema Mimi siyo mrahisi kiivyo... hujanipata bado sasa huwa najiuliza inamaana wote sio warahisi siyo au ndo kujishebedua
Kila memba wa kike anapenda hela. kitu cha ushahuri utasikia ...:HELA. Kweli?
Kingine cha leo cha kufungia kila memba wa kike(baadhi) humu ni next level. sijawahi kuwasikia wanazungumzia sokoni wao ni SUPERMARKET, MALL, SIMU MILLION sasa najiuliza wana undugu na BEYONCE au shobo
Kwenye naniliu nisiliongee leo
Nakaribisha mapovu