Hivi wanaokuwa na mke zaidi mmoja wanawezaje kuishi nao.

hazole1

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
4,319
3,916
Mm kuwa na mke mmoja tu naona ni tatizo.
je hao wanao kuwa labda na wanawake watatu huwa wao wanawezaje?
na wanajigawanya vipi?
 
Aisee kuwa na mke zaidi ya mmoja ni raha sana maana wanakuwa wanashindana ukilala kwa mmoja ataakikisha anakupikia vizuri anakupeti peti na kukupa unyumba wa nguvu ili kumzidi mwingine na ukirudi kwa mwingine hivyo hivyo. Ukiwa na mmoja anafanya business as usual maana hana mshindani. Sijui unanielewa lakini?
 
Mkuu umewezaje kumjibu vizuri hivi huyu ndugu yetu??

Nilikuwa nafikiria namna mzuri ya kujibu swali lake, tahamaki nikaona comment yako!! Imetosha!!
 
Mbona simple tu..kama unavyoweza kuishi na mmoja hvyo hvyo utammiliki huyo mwngne. Ila cost znaongezeka
 
Kuishi na wake zaid ya mmoja

Katika ushindani....

1. kifo njenje .....madawa, maigizo nk

2. chuki baina yao....visasi vya chinichini kwako mpaka kw watoto

3. Huduma ya tunda less effective...maana kila siku wewe nikupanda tu....ukilegea wamekupandia wenzako...

4. pressure hazikuishi kwa vimaneno

nk

mmoja ndio mpango mzima
 
Aisee kuwa na mke zaidi ya mmoja ni raha sana maana wanakuwa wanashindana ukilala kwa mmoja ataakikisha anakupikia vizuri anakupeti peti na kukupa unyumba wa nguvu ili kumzidi mwingine na ukirudi kwa mwingine hivyo hivyo. Ukiwa na mmoja anafanya business as usual maana hana mshindani. Sijui unanielewa lakini?
 
Ni Furaha ya Hali ya Juu sana

Kuna Mambo kadhaa lazima uwe nayo

Uwe na Nguvu na uwezo wa kuweza kuhimili vishindo

Akili na Maarifa ya kutosha

Busara isiyo na Mihemko

Tatizo la Watu wengi hawajiamini tu, Kama unaweza kuhimili kuimiliki michepuko mitatu unashindwaje kuongeza Mke mmoja wa halali?

Kama Mke mmoja anakuzidi nguvu mpaka Betteries u charge kwa Mchuzi wa Pweza Mke wa Pili atakuwa Mchepuko wa Wanaume wenzio
 
Aisee kuwa na mke zaidi ya mmoja ni raha sana maana wanakuwa wanashindana ukilala kwa mmoja ataakikisha anakupikia vizuri anakupeti peti na kukupa unyumba wa nguvu ili kumzidi mwingine na ukirudi kwa mwingine hivyo hivyo. Ukiwa na mmoja anafanya business as usual maana hana mshindani. Sijui unanielewa lakini?
Logic yako nzuri.
 
Mininao wawili aiseeeee........
Yaani naishi kwa raha kwenye dunia....mm
Ndiomaana skuizi nimepunguza kuzoza humu ndani.....
 
Kuishi na wake zaid ya mmoja

Katika ushindani....

1. kifo njenje .....madawa, maigizo nk

2. chuki baina yao....visasi vya chinichini kwako mpaka kw watoto

3. Huduma ya tunda less effective...maana kila siku wewe nikupanda tu....ukilegea wamekupandia wenzako...

4. pressure hazikuishi kwa vimaneno

nk

mmoja ndio mpango mzima
aiseee umejibu vzur... tena kwa hoja
kunywa pepsi watalipa tu
 
Back
Top Bottom