Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna mambo ambayo huwa yanakwaza watu sema sometime wananyamaza au kutabasamu tu kwa sababu ya staha au kumheshimu mtu. 1. "Bado una mtoto mmoja ongeza mwingine sasa/ mtoto amekua sana sasa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wana JF? Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, elimu yangu ni chuo kikuu, nahitaji kuwa na msichana mwenye umri kuanzia 20-25 elimu yake kuanzia kidato cha sita, diploma hadi chuo kikuu...
0 Reactions
0 Replies
541 Views
Ndugu, jamaa na Marafiki Ni siku ya 3 tangu shemeji yenu aseme hanitaki tena na kuondoka kabisa hataki tena majadiliano yoyote na mimi baada ya kufungua simu upande wa Facebook na kukuta...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
habari zenu wapendwa! naitwa Amiry Samiry ni kijana wa miaka 29 now kabila langu Mbondei wa Tanga Muheza Dini yangu Muislam.. ninafanya kazi Serengeti kiwanda cha bia Moshi mkoani Kilimanjaro...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
As salaam alykum, amani ya mungu iwe nanyi, mimi nina miaka 32 elim yangu ni certificate ya ualim kwa sasa npo Dodoma chuo mwaka wapili nikisoma shahada ya ualim yaan najiendeleza kielim. Dini...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wadau Nina mchepuko wangu mmoja kama mwezi sasa ulikuja kwangu na hoja kuwa tuachane kwani unahisi hautendi haki kuwa na mimi kwa mke wangu na familia yangu. Huu mchepuko una jamaa yake...
0 Reactions
42 Replies
10K Views
Huwa nakutana na wadada wengi wazuri mchoni ila kuanza kutongoza sasa inakuwa shida, huwa naingiwa na kauoga fulani hivi na mate hukauka mdomoni ingawa mi mkubwa kabisa wa kusimamisha mwanamke na...
1 Reactions
91 Replies
17K Views
Salam, Ni kama naona itanishinda na nitakwenda kumuachia nirudi kwenye bodaboda kama zamani kwani wenzangu nyie mmepanga vipi ratiba ya matumizi ya kigari kimoja ndani ya familia? Uwezo wa...
2 Reactions
62 Replies
6K Views
Ladies, it's not complicated. And guys feel free to add your additional points in the comment sections below. 1) Just like women, we need love. Even though women have the reputation of being more...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Cherelle Neille is a single mother, working as a shop assistant and living in Manchester. And she says she’s too beautiful to get a boyfriend. Cherelle anasema anaona wadada wenye Uzuri wa...
12 Reactions
196 Replies
18K Views
Tumezoea kuacha lakini siku tukiachwa ni balaa, niliwahi kuona jinsi watu wawili tofauti walipoachwa vile walichanganyikiwa kwa fikra zangu nikajua ni wehu tu wa mapenzi lakini kadri siku...
2 Reactions
47 Replies
11K Views
Kutokana na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume kuhusiana na tabia za wanawake wengi miaka hii.(si wote) kuwa na midomo michafu na wengine humu jamiiforums vidole vichafu urudishwe ule utaratibu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi, Eti kuna jamaa mmoja ameniambia anaogopa kuoa kisa hana hela ya kufanyia sherehe. yani yuko tayari atoe mahari lakini, kuoa kanisani anaogopa hana ela ya kuchangia sherehe...
4 Reactions
54 Replies
5K Views
Mimi mwenzenu maombolezo bado yananisumbua hupenda sana kuweka wimbo huu wa diamond LAKINI KILA NIKIWEKA WIFE hanambii niondoe ila husikiliza na kulia sana...nilikuw nimekaa na mwenzangu...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Ndugu zangu nimekuwa ndugu yenu nikiishi na mwanamke geto huku wote tukiwa ni wanafunzi wa vyuo tofauti hapa dsm but Mimi nimekuja kimasomo tukaanzisha mahusiano taaluma yangu ni mwalimu...
0 Reactions
123 Replies
11K Views
Katika Maisha kuna mambo tofauti sana yanafanyika kwa wanandoa yaan mke na mume. Kuna wakati mwanaume hufanya mambo yake bila kumshirikisha mke wake kama vile kununua viwanja, mashamba, kujenga...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Naomba kujua tofauti ya binti msichana na mwanamke, binti ni yupi msichana ni yupi na mwanamke ni yupi?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima Nikiwa na huzuni kubwa naandika uzi huu kwa lengo la kumuomba msamaha rafiki yangu wa utotoni na wa muda mrefu John (Ni jina lake halisi) kwa yote...
14 Reactions
154 Replies
10K Views
Habari wakuu, Baada ya salamu ni wape pole na majukumu yenu,mimi ni mwanaume nina miaka 40 Nina watoto wawili (mama tofauti) kwa sasa niko single na nnaishi Zanzibar (CHRISTIAN) Watoto wako mmoja...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom