Wewe zaa nitamchukua mtoto!!

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,351
Siku za karibuni kumekuwa na wimbi la wanaume wanaohitaji wadada wa kuzaa nao tu. Husema " wewe zaa, nitamchukua mtoto".

Hivi wanaume wa dizaini hii akili zao huwa zimekufa ganzi?

Karibuni tutiririke..
 
Kwamba,
Kuna ndoa za Kikristo ambazo zimekosa mtoto na hazipo tayari kuoa mitara.
Mume au mke anashindwa kuishi na mke mwingine ndani ya nyumba moja.
Hivyo mwanaume anaona ni heri atafute mke wa kumzalia tu nje ya ndoa bila kumuacha wala kumuudhi mke wake wa ndoa.
Ndo maana anatafuta mke wa kumzalia mtoto kwa makubaliano hayo.
 
Back
Top Bottom