Kila mdada ana weakness ya kitu chake

Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,164
5,762
Nikiwa chuo kuna binti mmoja mrembo kweli kweli alikuwa anawatolea nje vijana wengi. Kila aliyejitahidi kumtongoza aliishia kupigwa vya mbavu. Sasa kitu kinachonifanya nishindwe kumsahau hadi leo ni namna nilivyomnasa kirahisi bila hata kushusha mistari. Nilikuwa na katabia ka kupenda kula Eat Sum Mor biscuits hasa nikiwa naangalia movie. Siku moja nikaenda nazo hizi biscuit kwenye kipindi cha General Studies ambacho kilikuwa kinajumuisha wanafunzi wa course mbalimbali. Nilibahatika kukaa naye kiti cha karibu.

Alipoziona zile biscuit dada wa watu aligeuka kama amechanganyikiwa, oooh kaka naomba, yaaani nazipenda hizi biscuit. Nikampa zote, dada wa watu akajibu oooh thank you thank you thank you. Basi ikawa mwanzo wa ukaribu akawa anakuja chumbani. Nami sikufanya ajizi nikawa nazinunua ili akija asizikose. Kwa kweli tukawa tunaangalia movie hadi usiku hadi nikajikuta nakula papuchi bila hata kumwaga mistari.

Nilichojifunza ni kwamba kila mdada ana weekness yake, na pengine weekness hiyo inaweza kuwa ya kijinga lakini wengi wasiweze kuing'amua hiyo weekness. Hadi leo nikiziona Eet Sum Mor huwa siachi kumkumbuka huyu dada. Na hunifanya niinue simu nimpigie. Bahati mbaya sasa hivi ni Mrs Someone.


Eet-Sum-Mor.jpg
 
General study!!! Chuo gani hicho? Au advance? Maana chuo hakuna General study labda kama ulimaanisha Development study. But hongera pia kwa mbinu yako na kufanikiwa. Sasa mbona alikukacha na kuolewa kwa mwingine ooooh sorry kwa vibiscut inaonekana ni mwanaume wa Dar ndio maana alikukacha. Wanaume wa mikoani huwezi kumkuta dume zima na vibiscut!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom