Wanawake munajiabisha sana

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Hivi nyie munashindwa kutafuta pesa wenyewe hadi munakuwa kama omba omba,MTU nimekujua dk mbili tu unaniambia una njaa ww VP kwa iyo mm mpishi,Mara Ohoo sina vocha uza simu ukanunue vocha ,muna tabia mbaya sana ya kuomba omba pesa kwa watu musio wa jua
 
Mungu aliyosema mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho ulidhani anafanya masihara.
Comrade umempa jibu kali sana...bila kupepesa macho.
Ni jambo sahihi kumtunza mke/mchumba/mrembo wako. Ndio maana ukaita mwana-ume.
Vijana fanyeni kazi ikiwezekana fanya ubunifu acha kukumbatia vyeti AWAMU hii ya MZEE wa kutumbua.
2020 hiyoooo na MZEE halegezi kamba.
cc rubii
 
Mungu aliyosema mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho ulidhani anafanya masihara.
Chagua 1 boss, uzae kwa uchungu ama utafute hela yako na demu wako.
Kwaio kwa akili zako unadhan Mungu ndicho alichomanisha?
Ushaur wa bure tafuta mchungaji wa kanisa lililo karibu na wewe akufafanulie huo mstari
na muache ku relate the Word of God na thoughts za kipuuz
 
IMG_0385.JPG
Naomba sana uache ku generalize, majority ya wanawake wenye hekima na busara hawafanyi huo upuuzi wa kuomba Pesa! Wewe unakutana na wendawazimu mtaani alafu unaita wanawake! Dadeck acha huo upuuzi mara mmoja wa kudhalilisha wanawake! Afanalek! Askari muoga
 
Hivi nyie munashindwa kutafuta pesa wenyewe hadi munakuwa kama omba omba,MTU nimekujua dk mbili tu unaniambia una njaa ww VP kwa iyo mm mpishi,Mara Ohoo sina vocha uza simu ukanunue vocha ,muna tabia mbaya sana ya kuomba omba pesa kwa watu musio wa jua
Na ukiona unaombwa pesa Sana ujue kwake WWE ni mpuuzi tu

Usimuone omba omba bhna labda hujakua na sifa za kutoka nae
 
Mkuu acha kulalamika toa pesa c mliambiwa mtakula kwa jasho
chaa bamutu ba kongo!! huna pesa unatongoza vya nini
Mungu aliyosema mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho ulidhani anafanya masihara.
Chagua 1 boss, uzae kwa uchungu ama utafute hela yako na demu wako.
Mungu aliyosema mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho ulidhani anafanya masihara.
Chagua 1 boss, uzae kwa uchungu ama utafute hela yako na demu wako.

Ha ha ha a a sio kwa majibu haya jamani

Usipaparikie wanawake kama huna pesa mkuu! Utakufa bure kwa presha

Wewe sema huna hela bhana wacha kelele katafute hela huko
 
Hivi nyie munashindwa kutafuta pesa wenyewe hadi munakuwa kama omba omba,MTU nimekujua dk mbili tu unaniambia una njaa ww VP kwa iyo mm mpishi,Mara Ohoo sina vocha uza simu ukanunue vocha ,muna tabia mbaya sana ya kuomba omba pesa kwa watu musio wa jua
hata kuomba nayo ni kazi huoni wagogo hawataki kurudi dodoma?
 
Askari muoga threads zako fupi mixer zinachekesha
Ina maana from nowhere mtu kaja kukuomba pesa?
 
Hapa nina njaa. Na MB zinaenda kukata.
.
.
Pesa tunatafuta lakini za kwenu ni tamu zaidi.
Acha maneno ndugu tafuta pesa!
 
Hahahahaaa
Akatafute pesa, kisha akununulie vocha wewe utampatia nini?

Hii dunia hiii.
Awanunulie wanaomuomba, Mimi wangu kila inapoanza tarehe 1 keshafanya yake full kujiachia mwezi mzima.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom