Kwa kuwa Moja ya kazi za mitandao ni kutuunganisha watu wa aina tofauti tofauti basi nami nitumie Hii nafasi adhimu nilyonayo
Natafuta msichana Mzuri wa sura pamoja na tabia ili niweze kumfanya...
Hili ni swali nauliza na kama hivi ninavyoelewa sivyo basi mnisaidie kulijibu hili swali
Ninachojua mimi ukiacha yote yanayosemwa kama kila mmoja hatimizi wajibu wake basi hakuna mapenzi hapo...
WhatsApp the great
Moja ya sehemu ambamo watu wameingia cha kike ni kwenye magroup ya WhatsApp wapendwa wangu. Yaani huko kuna wakaka ni Mafisi wao kazi yao ni kuwala tu wadada za watu. Na kuna...
si jambo la kificho kwamba mwili wa mwanaume umeumbiwa tamaa kwa mwanamke hasa aliyejaziajazia maeneo fulani ya mwili.... Tathmini ya taama ya mwanaume huanzia mbele usoni Kisha kifuani na...
Watu wengi hudhani Na ndivyo tulivyoaminishwa katika magazeti,majalida Na runinga kuwa wanawake humpenda Na kuvutiwa Na mwanaume mwenye pesa,sura nzuri umaarufu au mwili Wa kimazoezi.
Pia...
Hello guys!
Siku chache zilizopita tulisafiri kikazi pamoja na wafanyakazi wenzangu kwenda mkoani Dodoma kuhudhuria training flani. Sasa kuna binti ambae mimi sikua na mazoea nae wala, siku ya...
Habari
Humu jukwaani kuna baadhi ya memba wanaletaka mabandiko yao. Mengine yanaonyesha maisha ya mapenzi waliyopitia n.k
Kuna memba humu kazi yao ni kukosoa as if wao foolish age hawajawahi...
Tunajua katika kipengere hiki hatutoki mmetukaba haswa hatuchomoki mnatuchuna Hasa na sisi hatuna namna kwa sababu ndio hivyo tena tushaamua kufa kidondani,ila mnasikitisha sana! Inawezekana vipi...
Mrejesho :
Nashukuru kwa mlionidhihaki na maneno na matusi yenu but mi sio aina hiyo ya wasichana mnaodhani niliweka vigezo vile kupima ni aina gani ya wanaume waliopo Tanzania but nimegundua...
Hivi karibuni jamaa mmoja alisafiri kikazi nje ya Dar es Salaam, jamaa alikaa huko siku 20 hivi. Akiwa kaacha familia yake Dar es Salaam.
Siku 20 zilipotimu akarejea kwake kwa watoto na mkewe...
Sifa:
-Awe mchaga anayeishi Dar es Salaam
-Umri miaka 30-40
-Dini Mkristo Mlutheri
-Awe anajishughulisha au muajiriwa.
-Awe mweupe asiwe mrefu sana size ya kati.
Sifa zangu:
Ninafanya kazi Dar...
Helloh wanaume wenzangu, natumaini wazima wakuu,
Mimi binafsi huwa nashangaa sana ninapoona mwanaume analalamika tena kwa sauti nyororo na machozi mengi kwelikweli eti "nimeumizwa na mpenzi...
Wadau,
Mimi ni mwanaume wa miaka 42 sasa. Tatizo langu kubwa kiukweli ni kushindwa kuoa. Kila ninapowaza kuoa naghairi sababu kila nikiwaza nilivyokuwa natembea na wake za watu naona nami...
Mnatushauri nin cc watchers hususan tunaotaka kuingia kweny ndoa? Not only waliwazid umri tu even mliosawa nao au mlipwapita kidogo kidogo pia eken uhalisia hadharani.. me naskiaga wanawake wa...
unapata sms inayokuamsha asubuhi kutoka kwenye ndoto nzuri " honey mi nadaiwa naomba uniazime sh laki moja tuu....luv u so much mwaaah" utachukua uamuzi gani wa busara , ,
Kwa kweli mwenzenu yamenifika hapaa, yaan nimekosa hadi usingizi, niko kitandan naperuz simu yangu, ghafla nikasema nichungulie kunani instagram, ghafla naona picha ya harusi ya alokuwa mchumba...
Habari za usiku wana jamvi
Rejea kichwa cha habari
Nmekuwa na uume mkubwa sana unakaribia nchi 10 ambayo na vigum kupata mwanamke wote wananiacha wakidai wanaumia wakati wa kujamiana kwhyo...
Hivi nyie kina dada wa mjini tena maeneo ya uswazi hii tabia mtaacha lini,
mkioneshwa kupendwa mnaleta mapozi utadhani mnatoka mboga Saba.
Simu hampigi hadi mpigiwe na mkipigiwa mnaanza kueleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.