eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,235
- 16,205
Mapenzi hayana umri sawa
Mapenzi hayachagui kabila sawa
Mapenzi ni kikohozi sawa
Mapenzi huchepuka kokote sawa
Lakini sio wote muwe wafupi
Lazima mmoja aende hewani zaid ya mwingine
Na mwanaume mara nyingi ndie anatakiwa awe mrefu kuliko mwanamke
Wakilingana urefu sio mbaya
Ila wasilingane ufupi