Msando pamoja na kuomba msamaha ila kwa ukweli umetugarimu wababa wenzako.

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
2,026
3,106
Salam,

Yaani kwa kweli Maneno yanayoongelewa na wake zetu juu ya kosa la Msando ni Gharama kubwa sana kwetu sisi wanaume wote.

Kuna mahali nimesoma wanasema Msando kushuka kwenye range kapanda bajaji. Wengine wanasema Mke wa Msando ana haki ya kumwaga kwa alichotendewa kwa sababu eti Gigy Hana Hana Kiwango cha Mke wa msando.
Yaani kila unapokaa na hizi jinsia tofauti unaonyeshwa tu picha afu unaulizwa sasa huyu mwenzako alifuata nini kwa hiki KITUKO.

Funzo:
Wababa tuchepuke lakini ukipita mahali upite mahali ambapo ni TBS ya Kiwango cha kimataifa.
Wakati wa kukutana na mchepuko hata kwa mazungumzo ya kawaida hakikisha hakuna kinakilishi au kifaa chochote kitakachoacha ushahidi.
Kama ni kuchepuka,mchepuko kwanza gambe baadae.

Msando umetugarimu. Shabashi
 
na maisha yetu haya ya drama ...utakuta mtu kanywa sumu asubh bwanah ...amuombe Mungu tu ampe faraja kipindi kama hiki
 
Kuna kitu usichokijua juu ya tukio lenyewe. Ule ulikuwa usanii kwa maana ya kutaka ku demonstrate jinsi viongozi wanavyotakiwa kufanya baada ya kashifa. Siyo km yule anayedai na kukiri kutumia madaraka yake kuwaokoa marafiki zake na mkono wa sheria
 
Mim kama mwanaume si mlaumu acha wanawake wamlaumu tukisema kila mti hapa atembee na camera wengine huwezi kuamini matukio yao na sio wanawake sio wanaume ...

Let forgive him na maisha yaendelee kuhusu familia ni yeye na mkewe chumbani mwao.

Chinekeee
 
Kosa la Msando ni kugusa kitu kikiwa ndani ya jinsi na chup wakat wenzake wanapima oil life bila chenga na kupiga dyudyu. He is simply a pervert. Kwanini uchore picha ya ugali wakat unaweza kupika ugali wenyewe?
 
Kuna wanaosema jamaa kashuka kwenye Ranger rover (wife) kapanda bajaji(gigy). Nyie jamaa mnasoma makava ya vitabu badala ya kurasa. Yaan kwakuwa A ana msambwanda mkubwa ndo mnadhani anaweza gwaride kuliko B mwenye msambwanda mdogo? Mngejua walivyo wavivu mngekaa kimya tu. Hamna kitu hapo ni kujamba tu kwa kwenda mbele.
 
Alichofanya Msando ni cha kawaida sana. Sijui mnashangaa nini. Naye kajishtukia bure.
mwanaume wa arusha wakuja tu,halafu kakimbilia kuomba msamaha yaaani kwa ajili ya nyapu chafu chafu ile.

Wa dar hapo wangekula mzigo tena kwa mkopo na kusepa kimya kimya.pombe viroba sio hennesy hata ya mchina.

Halafu bongo hizo zote JD na Hennesy mnajidai nazo na mapicha zote famba hizo ZINATOKA HAPO CHANGOMBE Mchina anafyatua tu,
Umkute Hennesy au JD mwenyewe aliyepanda ndege katulia mezani harufu yake tu ni kiburudisho tosha,na kwa gharama uliyoingia kununua huwezi kuta kina gigy msando wanamiminiwa km maji kwenye gari.
 
Kuna kitu usichokijua juu ya tukio lenyewe. Ule ulikuwa usanii kwa maana ya kutaka ku demonstrate jinsi viongozi wanavyotakiwa kufanya baada ya kashifa. Siyo km yule anayedai na kukiri kutumia madaraka yake kuwaokoa marafiki zake na mkono wa sheria
Nonsense
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom