Naomba ifahamike wazi linapokuja swala la kufanya sex mwanamke anaweza kuvumilia kutofanya sex kwa muda mrefu, tofauti na mwanaume.
Nimekutana na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wakilalamika...
Habari JF,
Kama kichwa tajwa kinavyosema,
Nimeshaandika threads za kutosha kutafuta mke wa kuoa lakini sipati jamani. Hivi ni kwanini? Au madada hamuamini mtu anaposema anataka mtu wa kuoa? Mimi...
Wana MMU habari za mchana?
Nimeona niwashirikishe hili wakati mnajiandaa kwa lunch.
Maagano ni sawa na makubaliano au mkataba. Katika hali ya kawaida mtu unapopata mwenza mpya unaweza dhani kuwa...
Salaam kwenu
Hapa ninapopita kwa muda huu ni uchochoroni mwa nyumba nasikia sauti ya mwanamke akigomba kwa sauti ya juu,nimevutika na anachosema wewe baba iddi umezoea ukiona ndugu yangu amekuja...
Jamani kama thread inavyojieleza...I am looking for 'my beautiful Miss' that i will later make her 'my Wifey'! Jamani wadada changamkieni fursa hii, ni adimu sana kumpata kijana kama mimi...
Wadau naomba msaada,
Kiukweli sipendi mpenzi wangu akizama chumvini, sababu kuu ni kuwa akishazama anataka anikiss mdomoni. Aisee najisikia vibaya, kuna wakati nilimwambia sipendi ikawa ugomvi...
Habari zenu wakuu.
Weekend hii nilikuwa na mihadi na binti mmoja hivi nilikutana naye nikiwa kwenye harakati za kusaka pesa.
Nikaimbisha binti akaelewa somo. Huku na kule tukapanga weekend hii...
Habari zenu wapendwa,
Natafuta mke nahitaji kujua yupi ni mke sahihi kati ya huyu mwenye degree na huyu ambaye aliishia form four na akafeli kwa ufahamu wangu nilionao, ili kuwa na familia bora...
Wanajamvi,
Naomba ushauri,
Kuna dada nilikuwa nampenda sana sasa tukaachana akapata mtu mwingine na mimi nikatafuta mwingine ambaye nimemuoa sasa huyu mpya ananipenda sana na kunidekeza sana...
Mdogo wenu apa nna tatizo nisiwachoshe sana kwa maelezo meeeengi....
Iko ivi mi nna mpenzi tuna kama miaka miwili tangu tuwe pamoja....sasa uyu ndugu me nimetokea kumpenda kupita maelezo yan...
Habari wana MMU?
Nawaandikia nyote kuwaeleza machache juu ya tabia zetu zinavyoweza kuathiri thamani yetu jukwaani hapa na hata kwenye jamii yetu.
Kuna watu huwa wanadhani kujisifia kwa mambo...
Habari zenu wana Jf,
Nimepata mchumba bar na tunapenda sana,lakini nilipolifikisha kwenye familia wamewasha moto mkali ambao nashindwa kuuzima.Hivi mi nawaulizeni nyie wazazi mnataka wanawake kama...
Tangu nihamie tabata bima kila cku nakumbana na changamoto ya kuvunj shingo kusindikiza macho ya wadada wa watu wazuri.si reli,aroma,shule,bima,mawenzi,kimanga,magenge,barakuda,segerea,kinyerezi...
wasalaam wanajamvi, miezi kadhaa imepita tangu nije hapa. mpenzi wangu alichepuka akanisahau,akanitupa kule. kiukweli niliumia sana, ilifika kipindi mpaka nilikuwa naugua yaani, ndugu msomaji...
Asalaam Alaykum,
Mwanaume ukishafikia rika la umri wa makamo ndipo utakuja kugundua kwamba ulifanya jambo la msingi sana kumuoa mwanamke mwenye akili ya darasani na maisha kuliko mwanamke mwenye...
Kwenye jambo lolote linalofanyika kwa makubaliano ya watu wawili,lazima pawepo makubaliano ya maandishi au maneno.
Kwenye mahusiano(mapenzi) mala nyingi huwa tunakubaliana kwa Maneno na kila mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.