Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,373
- 6,531
Je nyimbo gani nzuri huwa unaiskiliza mara kwa mara hasa nyakato hizi za usiku inakupa Usingizi mubashara""'
Kwa upande wang" Jim Reevesut ur sweet lips closer to the phone huwa naiskiza mida hii ya kumweka mtu chuma tembele na purukushani mara kitandani kelele"Je wewe nyimbo ipi unaipenda hasa kusikiliza usiku huu"