Wanaume Embu Nisaidien kwenye Hili

Karimu123

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
243
114
Nina Uhusiano na Bint Mmoja takriban miez mitatu nampenda lakin anadharau huwa ni mtu asiyejal hata kama nikiwa naumwa yeye anajal yake ila yeye akiumwa ss unaeza sema umegeuka house girl....Ila alichonifanyia Leo nimechukia sana alaniambia anaumwa yuko nyumban akiniomba nimpeleke matunda nikafungasha kama ya Ten nilipofika karibu na kwao nikampigia simu njoo chukua mzigo wako ili na mim nisepe akasema anaumwa sana nimpigie rafiki yake aje amchukulie mana yey anaumwa sana nikampigia bahati mby nikamkosa rafik yake nikaomchek nikamwambia toka tu uchukue niendelee na mambo yangu mengine akasema anaumwa sana ikabid niondoke mana mvua ilikuwa inanyesha hamad nikakutana na rafik yake nikamuliza Fulan anaumwa kiasi kwamba awez toka?akaniambia mbona anatoka vzr tu nikampa mfuko nikarud nyumban ghafla ananipigia simu ety nipo sehemu fulan njoo nione nikamwambia nimekuja hadi kwenu ajatoka saiv nije kufuata nin uko....iv ni wanawake wote wako ivyo????
 
Duh umenikumbusha nilivyokuwa teenager, kuna manzi wangu mmoja alinifanya bwege kweli. Kuliko hivi wewe kupeleka matunda, alikuwa jeuri sijawahi kuona. Mwisho niligeuka punda kwa mateso yake. Kanifanya mwenziwe nisiwe na upendo wa kweli kwa hawa wadada wenziwe. Manake nimebaki kuwavua kufuli zao na kusepa tu. Mapenzi 0.000001%.



Ndukiiiii
 
Mvumilie tu hata kwamba huyo bidada ni vigumu sana kuja kuoana nae kwa mujibu wa maelezo yako, wakati mwingine unahitaji kuwa na msimamo thabiti sana ktk suala la mahusiano( anakuchukulia poa"dhaifu") sana kwake kwasababu unampenda kupita kiasi. Anaamini huna namna kwake umefika utaenda wapi. Kuwa mwanaume sio mwanaume mvulana
 
Sipendi dharau mm jamaaani ktk mahusiano!!!!
Mtu mmoja anaweza kusababisha usiwe na true love hata kwa wengine na ukishasambaa kwa watu wengi mwisho tunajikuta Jamii nzima haina Upendo wa dhati.
 
Mkuuuu kuwa mkali huyo binti ndo utamuweza inaonesha unamchekea sana
 
Back
Top Bottom