HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,413
- 6,134
Wanabodi habari,
Jana narudi job jioni nmefika zangu home nakuta wife karudi toka kazini kwake anakaangiza nikaingia chumbani baada ya mda nikatoka kwenda dukani nikaacha simu kitandani basi wife kaichunguza kakuta text nilizo chart na wadada flani na anawafahamu in short sikuwatongoza ila tulikuwa tunataniana basi wife kazisoma narudi nakuta amefura utazani kameza mawe basi pale kaanzisha mtiti lakini nikamdhibiti mapema na kumtuliza ila nashukuru kanielewa japo kaninyima gemu usiku sio mbaya siku moja nawaomba msipende kuchungulia simu mtakuja kujinyonga bure.