Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tarehe 22/08/2026 kulifanyika uzinduzi wa Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere ni mwezi mmoja kamili, ambapo ilikuwa ndio siku ya mwisho (mpaka sasa) ya aliyepata kuwa Makamu wa Rais Balozi...
8 Reactions
26 Replies
484 Views
Je, Makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa kwa sasa ana ubavu, nguvu, ushawishi na mikakati ya kisiasa ya kufanya hilo kutokea, ili hatimae kumdhibiti Lema asikatizekatize kwenye 18 za uongozi...
1 Reactions
65 Replies
579 Views
Ngozi nyeusi ni laana Hata mbwa kuonekana kando ya msafara wake ni hatari! Mlaaniwe polisi 1. Mauaji 2. Ubunafsi 3. Kujivika U-Mungu 4...you name all of them and the list is endless
11 Reactions
64 Replies
1K Views
Karibuni!Tuyatambue kwa majina na maeneo yalipo! 1. Gari linalomuendesha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga,Kule Mkoani Kilimanjaro. ( Toyota Landcuiser Prado J250)...
0 Reactions
2 Replies
147 Views
Ndugu zangu inahitaji moyo mkuu sana ili kuwa muumini wa katiba tuliyonayo nayo sasa, kwani mbali ya kuwa Ina mapungufu mengi haikuumdwa na raia bali iliundwa na viongozi Yaani watawala...
4 Reactions
38 Replies
245 Views
Mh waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa hajamfahamu adui yake no 1. Hii inatokana na ukweli kuwa vita anayopigana inamhusisha yeye na adui asiowajua. Membe anaamini adui zake wakubwa...
105 Reactions
471 Replies
66K Views
Hii inaonesha ni kwa namna gani binadamu ni wabinafsi na wanapenda kuishi fake life. Unaanza vipi kumpaisha Mr Ebbo na kuwaacha malegend wa masai hip hop walioipeleka bongo fleva ughaibuni?? Ndio...
5 Reactions
26 Replies
413 Views
NIMESHANGAZWA SANA; WATU WANAOSEMA KUNA RAIS NA SERIKALI HARAMU WAKISEMA HAKUNA MTOTO HARAMU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nilileta mada hapa iliyozua mjadala mkubwa kuhusu mtoto haramu...
6 Reactions
39 Replies
369 Views
WARAKA WA KIASKOFU JUU YA DKT NCHIMBI Mpendwa Mhe. Samia Suluhu Hassan! Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Tunasalimu kwa jina la Mungu aliye hai, Bwana wa mabwana, mfalme wa wafalme na...
3 Reactions
2 Replies
137 Views
Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche. Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili...
25 Reactions
225 Replies
5K Views
  • Featured
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, ametoa wito kwa vyama vya siasa, utumishi wa umma pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuzingatia wajibu wao wa msingi ili...
8 Reactions
44 Replies
860 Views
Daraja la Kigamboni ni mradi wa ubia kati ya NSSF na Serikali ya Tanzania. NSSF inakusanya na kusimamia mapato ya tozo NSSF yenyewe inaeleza wazi kuwa mradi huo ni Joint Venture Project kati ya...
3 Reactions
5 Replies
139 Views
Usiku wa leo ni mrefu sana kwa baadhi ya watu. ‼️TAFAKURI‼️ Leo kwenye Cross Examination kuna maswali binafsi Katuga kamuuliza Mhe.Heche ila kimsingi hayo maswali yanatakona na tuhuma za uwongo...
10 Reactions
48 Replies
1K Views
Huyu mzee ukimya wake una mashaka sana Je ndo wale waliopewa masharti dhidi ya uhuru wake mbona yupo kimya?
2 Reactions
10 Replies
142 Views
Mradi huu ni wa serikali kwa kupitia Taasisi zake. Aliyeufisadi hajulikani. Na mwenye mradi hajulikani, lakini fedha zilizotumika ni za Watanzania. Sikumbuki kama kuna mtu yeyote aliyechukuliwa...
19 Reactions
91 Replies
6K Views
Mwaka 2013-2014 wakati kesi ya Kenyatta na Rutto zinarindima kwenye mahakama ya uhalifu wa kimataifa (ICC-The Hague), njia kuu iliyotumika kuzima sakata ni kuharibu ushahidi kwa kuuficha, na kuua...
71 Reactions
84 Replies
2K Views
Wakuu, Kuna ndugu wa LISSU hapa anadai kua 'Lema na Mbowe, ndio walikua wanamtembelea LISSU majira ya usiku !!!
16 Reactions
56 Replies
2K Views
Akihutubia United Nations General Assembly, huko New York leo, Rais Trump ameipiga marufuku mahakama hiyo ya ICC kuwachunguza au kuwashitaki raia wa marekani na washirika wake kote ulimwenguni...
3 Reactions
7 Replies
137 Views
Ndugu zangu Watanzania, Moto Uliowashwa Na Katibu wa Itikadi,Mafunzo na Uenezi wa CCM Taifa Ndugu Mheshimiwa Kenani Laban Kihongosi Unaendelea Kuuteketeza Na kuukausha Upinzani mitaani Hususani...
5 Reactions
39 Replies
469 Views
22 September 2026 Tandika, Dar es Salaam Machinga wa jijini Dar es Salaam wasema maendeleo ya vitu siyo msingi wadai maendeleo ya watu https://m.youtube.com/watch?v=pUFAOzubI44 Chinga hao wa...
4 Reactions
12 Replies
332 Views
Back
Top Bottom