Vyombo vyetu vya habari vimekaa kimya. Japo Mimi sio CCM ila Mwambe ni Hazina ya taifa. Ni mwanasiasa anayejali watu wa vyama vyote. Mtanzania halisi asiye na unafiki
Kwa mara ya kwanza nilionana...
Mbunge wa zamani wa Nzega Vijijini na aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla, amesema hana kinyongo wala malalamiko yoyote baada ya kushindwa kurejea bungeni...
Endelea kupumzika kwa Amani Kamanda Mohamedi Mtoi , classmate wa vidudu (chekechea) and Secondary. Ile kama kweli ilikua Ajali ya kawaida basi Mungu anajua...
Wanabodi
Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano 3 muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na Mkutano Mkuu wa 13, wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni rasmi ni Naibu...
Wanabodi,
Utangulizi,
Naomba kuanza kwa kutoa utangulizi mfupi kuhusu mwandishi wa makala hii, Pascal Mayalla, ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea, baada ya kukumbana madhila...
“Tunajiita tuna uhuru wa habari, lakini tuna tatizo linaloitwa ‘media oga’, yaani media zetu ni waoga. Ni waoga kutangaza jambo wanapohisi kwamba serikali haitafurahia. Kwa maana hiyo, karibu...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, kwanza nitoe pongezi kwa mwandishi wa habari, Saed Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi kwa kuripoti ukweli bayana wa kitu cha...
Kauli ya katibu mwenezi imenichekesha kwamba mtumishi yoyote wa serikali kwamba serikali haiko juu ya chama kwamba chama ni kikubwa kuzidi serikali kwa hiyo hakuna mtumishi wa Umma anaweza kwenda...
Wanabodi,
Humu jukwaani tuko watu wa fani mbalimbali na miongoni mwao ni sisi watu wa fani ya habari.
Leo nimewakumbuka waandishi wa habari na kupotea/vifo vya kutatanisha, toka kwa Stan...
Wala msijiulize kwanini kilaza Kingai anasema atafurahi endapo Lissu atakutwa na hatia.
Niwaambieni kitu kimoja kuwa waliofungua mashtaka kwa niaba ya jamhuri na mawakili wa jamhuri wakishinda...
Utangulizi: Sauti ya Mange Kimambi na Karata Mpya ya Mapambano
Mange Kimambi amekuwa nguzo muhimu katika kuibua mijadala ya kijamii na kisiasa nchini Tanzania kutokea uhamishoni. Licha ya...
𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔, 𝗠𝗜𝗦𝗥𝗜 𝗭𝗔𝗔𝗭𝗜𝗠𝗜𝗔 𝗞𝗨𝗜𝗠𝗔𝗥𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗨𝗦𝗛𝗜𝗥𝗜𝗞𝗜𝗔𝗡𝗢 𝗪𝗔 𝗞𝗜𝗗𝗜𝗣𝗟𝗢𝗠𝗔𝗦𝗜𝗔 𝗡𝗔 𝗞𝗜𝗨𝗖𝗛𝗨𝗠𝗜
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amesema Tanzania...
Katika taarifa yake ya kikao chao cha Septemba 20, 2026 CMAG imesisitiza yafuatayo:
1. Kuendeleza mchakato Unaojumuisha pande zote, unaoaminika na unaowezeshwa kupitia ushirikiano kati ya vyama...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa salamu za pole kwa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Mhe. Amani Abeid Karume, pamoja na familia, ndugu na jamaa...
Copy and paste
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mama yetu, Mama Fatma Karume, mjane wa Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...
Tanzania hawajawahi kufa kwa mkupuo kama vifo vya watoto wetu 29.10.2025. Ule haukuwa uchaguzi bali kutoa kafara watoto ili watu wakalie viti vya madaraka
Kuna watu wanadhani hii ishu ya tarehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.