Hivi kumbe inawezekana watu wakawa ni mapacha lakini wasifanane. Hii nimeona leo, mmoja yupo South America, mwingine yupo Africa. Huyu wa America juzi hapa katoa kibali kwa Wafaransa wanyonye...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la Pongezi kwa Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda, ni multi talented, Sio tuu ni profesa wa sayansi, mhadhiri wa chuo kikuu, mbunge, waziri na mwanasiasa, Prof...
Majaji wanadanganya watoe hukumu ya kumuonea Lissu na kuhukumu anyogwe kwa kuwaambia pamoja na kwamba hana hatia Raisi atampa msamaha. Swali ni lini huyu Raisi fake amekuwa mkweli. Majaji ndiyo...
Jaji Augustin Ramadhani akiongea na Mwandishi wa habari juu ya kesi Fulani,aliwahi kusema hivyo.
Alisema kua kesi zote duniani hua zinasikilizwa mara mbili,ndani ya MAHAKAMA na nje ya MAHAKAMA...
Hawa watu kupewa vyeo vikubwa inaamunika wana akili kubwa sana. Wao ndio viongozi wa vyombo.
Kupitia Kingai wametoa kauli kuwa hawako tayari kumtetea Mh. Lissu. Sasa najiuliza kwani waliitwa pale...
Hamjambo!
Unapozungumzia Ukristo basi jua unazungumzia nchi za ulaya Magharibi.
Siasa za ulaya magharibu zinamchango mkubwa katika kuenea kwa ukristo katika nchi nyingi za Bara la Afrika...
Je,
hiyo inaashiria kwamba mwanasheria huyo mwenye maneno mengi matupu amefikia ukomo wa kufikiri kisheria na amegundua kwamba hakuna uwezekano tena na wala namna yoyote ile ya kujibandua wala...
Akizungumza katika mkutano wa kufunga makambi ya ulezi ya kanisa la Adventista-Kinyerezi leo Septemba 19, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesisitiza ili Watanzania watabasamu, haki na...
Natamani Waziri Dorothy Gwajima aje kuwa Rais baadae.
Dudubaya amesema hayo wakati wa mahojiano na ST Bongo, ambapo amemsifia Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum...
DCO wa katavi yule muhaya kanyooka sana.
Watu kama hawa ni hazina kwa Taifa. Ni vile mfumo mbovu unawameza hata watu wazuri.
Leo bwana DCO umenikosha sana
Wana-JamiiForums,
Kama wewe ni mfuatiliaji wa vyombo vya habari nchini Tanzania, hususan vipindi vya asubuhi, bila shaka utakuwa umekutana na kipindi cha 'Jana na Leo' kinachorushwa na Wasafi...
Askari wanapopewa ripoti ya uhakika kuwa wafanyavurugu wamevamia vituo vya polisi kuua polisi na kupora silaha na sare za jeshi la polisi unadhani anaepewa ripoti hiyo atatuma askari kwenye tukio...
1. Mods, wengine mlifika Hadi inbox kunionya. Mbarikiwe sana.🙏🙏
2. Members wote niliotukana nao, ikiwemo Leo. Mnisamehe 7*70
3. Members walioyashuhudia matusi yangu na kuwakera.
Siijui kesho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.