Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Zitto alionekan mnafiki na mzandiki alipozungumzia mkataba wa Mbowe na NHC. Lakini naomba wote tujikumbushe juu ya kashfa ile kwa kupitia hii Link. Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa...
5 Reactions
80 Replies
11K Views
KWA NINI TUNDU LISSU NI CHAGUO SAHIHI TLS? Nimekua katika mazingira ya kuambiwa kila uchao kwamba ili nchi iendelee inahitaji mambo manne: watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Kauli mbiu hiyo...
2 Reactions
0 Replies
818 Views
MJANE kutoka Tanga, Swabaha Mohamed Shosi aliyewashtaki baadhi ya watendaji wa Serikali kwa Rais John Magufuli hapo jana akidai kuzungushwa kupewa haki yake ya mirathi si tapeli kama...
15 Reactions
190 Replies
29K Views
Wadau juzi Mwenyekiti wa Baraza la Madawa ya Kulevywa Nchini Mh.Waziri Mkuu Majaliwa wakati akizindua Baraza hilo alisema no marufuku kumtaja MTU jina mpaka Ahakikiwe.Swali langu ni je wale ambao...
0 Reactions
3 Replies
793 Views
Mara baada ya tukio la Dangote na sintofahamu ambayo baadae lkamalizwa Vuguvugu la uhamasishaji viwanda kama limepoa. Waziri husika simuoni kwenye media akitoa miongozo uhamasishaji na mikakati ya...
0 Reactions
0 Replies
592 Views
Uchunguzi wa ufisadi wa 230bn wakamilika, tusubiri bunge la April. Inatia hasira nchii hii, Mkurugenzi mpya wa NSSF anasema NSSF mradi wa Dege Village Kigamboni , NSSF Ilinunua viwanja eka1 kwa...
25 Reactions
60 Replies
6K Views
Kuna kitu hua najiuliza sana mpaka kichwa kinaniuma pengine hata kidonge kimoja cha panadol hakiwezi kusaidia kitu. Hivi tulikua wapi wakati CCM wanajaza wabunge mpaka kuwafanya kua na idadi...
2 Reactions
12 Replies
915 Views
Msumbiji wanajiyekenya na kucheka wenyewe..! Wanajirekodi na kujisikiliza wenyewe. Wanadhani baba yetu ni wa mzahamzaha. Wanadhani ni mpole kiasi. Huyu ni Tinga tinga / bulldozer lilojaa mafuta...
18 Reactions
68 Replies
7K Views
1-Najiuliza sana ni watanzania wangapi kati ya milioni 50 tuliopo tunaweza kulipa nauli ya ndege kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine au kutoka nchini kwenda nje ya nchi? Ukweli ni wachache sana...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Redirect
Tumeshuhudia baadhi ya watuhumiwa walioitwa polisi wakiwa hawatumii mihadarati kama Gwajima huku baadhi ya wanasiasa kama Manji wakigundulika wanatumia mihadarati. Pia kuna wengine inasemekana...
0 Reactions
Replies
Views
Moja ya jambo ambalo uwepo wake haunifurahishi ni hiki kinachoitwa "kinga ya Raisi" awe madarakani na baada ya kustaafu. Wakati huu viongozi wanakamatwa, wabunge wanafungwa jela, wanawekwa...
10 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau najiuliza tu maswali na naomba kueleweshwa,sheria zetu zina semaje kwa kiongozi yeyote yule mstaafu anaposafiri Nje ya Nchi na akakataa ulinzi ama mlinzi wake asiambatane nae,inamaanisha...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Huwa bado najiuliza hivi sisi ni Watanganyika/Watanzania original? Hivi wizara ya mambo ya nje na balozi wa nchi hii ni wazawa? Wanasema tuwe wazalendo hivi wao uzalendo wao uko wapi? Wanatakaje...
13 Reactions
54 Replies
6K Views
Let’s dump all cra'ps and get down to the nitty-gritty!! Paul Makonda amevurunda kwa kiasi kikubwa issue ya mihadarati! Tuweke kwanza pembeni masuala ya bangi na tujikite kwenye cocaine na...
56 Reactions
105 Replies
10K Views
Serikali yetu ya awamu ya tano chini ya Rais John pombe magufuli imejitapa na kutupa matumain wanyonge kuwa itapambana na ufisad. Ni muda mrefu sasa tangu tuichague kushika madarakan karibia miezi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hongera ZZK , Hongera Mbowe , siasa Si Uadui , Haya ndio tunataka kuyaona Kwa Wapinzani .
18 Reactions
128 Replies
16K Views
wakati tukiwa tumebakiza miaka michache kuelekea 2020 kuna utafiti nimejaribu kuufanya mijini na vijijini lakini pia nimejaribu kupita majimbo ambayo ccm au upinzani...
9 Reactions
145 Replies
8K Views
No one Cares Kwasababu watoto wao wanakula na kulala pazuri, No one cares because they sure we cant touch them, No one cares because they think of short term impact of their political career ...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Watanzania waishio nchini Msumbiji wapo katika wakati mgumu kutokana na kufukuzwa kwa nguvu ikiwemo kunyang'anywa mali zao, kupigwa na wanawake kubakwa. Msikilize Mtanzania huyu aitwaye Wille...
4 Reactions
78 Replies
19K Views
"Mtu mzima na akili zako unaamka asubuhi kisha unaingia bafuni unaogo unaingia chumbani kwako unapiga suti yako na tai alafu unaingia kwenye gari ya serikali unaelekea ofisini." "Unaingia ofisi...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom