Mhere Mwita
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 235
- 1,275
Uchunguzi wa ufisadi wa 230bn wakamilika, tusubiri bunge la April. Inatia hasira nchii hii, Mkurugenzi mpya wa NSSF anasema NSSF mradi wa Dege Village Kigamboni , NSSF Ilinunua viwanja eka1 kwa milioni 800 badala ya milioni25 na wakanunua ekari 300. hivyo kila ekali jamaa wamelamba salio la milioni 775 sawa na zaidi ya 232bilion.
Na Mkurugenzi wake Dr Dau akapewa heshima ya Ubalozi Malaysia badala ya kutumbuliwa. Lkn Mkurugenzi wa Tanesco aliyeomba kupandisha bei ya umeme kwa kufuata taratibu zote Bw Mramba akatumbuliwa juu kwa juu.
Ndio maana napata shaka kuhusu dhamira ya Vita ya ufisadi awamu hii kwani inachagua.