ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,368
- 50,737
Serikali yetu ya awamu ya tano chini ya Rais John pombe magufuli imejitapa na kutupa matumain wanyonge kuwa itapambana na ufisad. Ni muda mrefu sasa tangu tuichague kushika madarakan karibia miezi 6 sasa . pamoja na UFISADI wote huo kila siku mpya inaibuka lakini hatujawah kusikia fulani kufungwa. Kuna nini? Basi na nyie mnaonana na wakubwa huko waambieni basi kama bunge halionyweshi live na watu wamekosa interest na kufuatilia siasa basi mtuonyeshe hata yaayoendelea mahakamani ili tujue mafisadi wetu wanavobanwa na mahakama. Ni wazo langu jaman wengine hatujui Sana kuhusu sheria ila kama inawezekana iwe hivo tutafurahi tu..