Wakati Balozi wa India anawasaidia wale wahindi wa Manji, sie wenzetu wa Msumbuji tumebweteka tu

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,883
IMG_20170218_041951.jpg

Huwa bado najiuliza hivi sisi ni Watanganyika/Watanzania original? Hivi wizara ya mambo ya nje na balozi wa nchi hii ni wazawa? Wanasema tuwe wazalendo hivi wao uzalendo wao uko wapi?

Wanatakaje? Ivi ingekuwa Chadema wanafanya fujo mngekaa kimya?
 
":Watanzania waliokamatwa nje ya nchi kwakujihusisha na madawa ya kulevya na wamehukumiwa kunyongwa,wacha wanyongwe na serikali haitajihusisha kwa lolote"
 
Kuna Nchi inajua thamani ya raia wake, sisi huku hadi uvae fulana ya kijani ndio wakutambue. Israel akifa hata raia mmoja utasikia tu. Wa kwetu sijui hatuna mahaba nao, ila si mbaya nikumbusheni 2020
 
Ivi wewe una akili kweli, juzi umesikia mkuu anasema walioko jela huko nje waachwe wanyongwe, wewe bado unakuja hapa na tumaswali twako twa kipuuzi?
 
Wapo Ikulu wana shida gani?
Kama hata rambi rambi walikula. Unachoshangaa ni nini sasa hivi.
Ramba ramba zilizo tolewa kwa wahanga wa tetemeko Kagera wakapeleka puani halafu ikaja kauli waliohukumiwa kunyongwa huko nje ya nchi na wanyongwe tu serikali haitoi msaada wowote sasa itakua hao wanaorudishwa kwao tena kwa gharama zao unatazamia bwn John Beer atasema kitu? Hiyo imekula kwao.
 
View attachment 471575

Huwa bado najiuliza hivi sisi ni Watanganyika/Watanzania original? Hivi wizara ya mambo ya nje na balozi wa nchi hii ni wazawa? Wanasema tuwe wazalendo hivi wao uzalendo wao uko wapi?

Wanatakaje? Ivi ingekuwa Chadema wanafanya fujo mngekaa kimya?
akili zako ni fupi sana; tafuta magazeti ya Msumbiji yameandika nini kuhusu alichofanya balozi wa tanzania nchini Msumbiji. Hata hivyo si hili ni gazeti la Manji?
 
Kama walifikia hatua wakala hadi pesa za rambirambi, unadhani awa ni watu wa kawaida ?

Haya yote ni madhara ya kuongozwa na mrundi.
 
View attachment 471575

Huwa bado najiuliza hivi sisi ni Watanganyika/Watanzania original? Hivi wizara ya mambo ya nje na balozi wa nchi hii ni wazawa? Wanasema tuwe wazalendo hivi wao uzalendo wao uko wapi?

Wanatakaje? Ivi ingekuwa Chadema wanafanya fujo mngekaa kimya?

hata hao wabunge waliokuwa wakipiga kelele makonda aende kujieleza ndio waamke sasa kuhusu msumbiji
 
Wizara ya mambo ya nje imefeli sana katika hili..

Tatzo wanapenda sifa za kijinga za kujifanya tanzania ni rafiki mwema
 
Back
Top Bottom