Rostam Aziz & Yusuph Manji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rostam Aziz & Yusuph Manji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kiuno, Aug 18, 2010.

 1. k

  kiuno Member

  #1
  Aug 18, 2010
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  No one Cares Kwasababu watoto wao wanakula na kulala pazuri,
  No one cares because they sure we cant touch them,
  No one cares because they think of short term impact of their political career ,
  No one cares because mioyo yao inawasuta kwa pesa walizoshirikiana kuiba na RA,
  No one Cares because they are shareholders in most of RA companies,
  No one cares!

  But there is blood of Inocent which care and that are Tanzanian wanaokufa kwa magonjwa mbalimbali kwa kukosa matibabu kutokana na ukosefu wa vifaa vya kisasa vya afya, Damu ya kina mama wanaokufa kwa kukosekana kwa huduma za afya wakati wa kujifungua, Watu Hizi damu hazitaondoka bure, Katika kila damu inayomwagika, Itakaa Juu yao.

  The end is coming now... (QUOTE)LEOKWELI

  na hiyo the end kwanini isiwe wana jf au sisi wenye uchungu na nchi yetu tusimfungulie mashtaka huyu ROSTAM AZIZ na huyu YUSUPH MANJI? kwa ufusadi wao na Uraia,najua humu ndani kuna lawyers na wengine tuliobaki tukichange ili kuwe na uwezekano wa kuendesha hii kesi mpaka kieleweke,(tushinde au washinde) kuliko kubaki kuongea tu
   
 2. m

  mzanganyika JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 257
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Umeishiwa wewe!!!!
   
 3. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Lipo tatizo kwako kama wewe si sehemu ya tatizo...period.
   
 4. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Penye mstari hapo... ni kweli hawa jamma wamo humu ndani lakini msaada wao ni kiduchu mno katika kutumia taaluma zao kuuokoa umma wa watanzania katika wizi wa kutisha uliofanyika na unaoendelea kufanyika Tanzania. Ni mafundi wa kuzungumza katika redio na TV na kutoa makala katika magazeti... kwenye makongamano, mmhhh!! Ukiwaambia mwende basi mkawashitaki basi au ishinikizeni serikali kupitia sheria iwashitaki, watakujibu "...unajua...aah unajua.." Ilhali sisi engine hatujui la mno lihusulo sheria. Ni waoga kuliko...
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
   
 6. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Jamani twende mele na kurudi nyuma RA na EL are very powerful tycoons in this country. They control 85% of the Mbayuwayu's government. The have even defined who shall be the president of URT 2015!!! The funny thing is Mbayuwayu is helpless on this!!! Yeye ndo URT's president and still can not touch them...

  Do we think they do what they do carelessly? Wazo la mleta thredi ni la maana. Lawyers assist!!!
   
 7. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inasikitisha sana...ooh mai
  mix with yours
   
 8. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kuna ule wimbo tulikuwa tunaimba primary enzi hizo; unasema: Tanzaniax2 nchi yenye mali nyingi, watu wengi wa ulaya wanakulilia sana
   
 9. k

  kiuno Member

  #9
  Aug 18, 2010
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lets be serious guys, we can do something kama tukiwa wamoja, sio lazima tushinde, hata wakishinda poa lakini itakuwa mfano kwa wengine wanaojiandaa kuja,maana ninavyojua toka aanze kupigiwa kelele kuhusu uraia na ufisadi atakuwa amejipanga sana.
  bora hela ziliwe na hawa watanzania wenzetu zitakuwa zinazunguka hapahapa bongo kuliko huyo mu iran na m********* wanobeba na kupeleka kwao
   
 10. sensa

  sensa JF-Expert Member

  #10
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Matusi hayatakiwi jamani.jenga hoja za msingi watu wakuelewe usitulutee mambo ya kiteja hapa.
   
 11. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #11
  Nov 8, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Duh! Naona mateja nayo yamevamia humu.
   
 12. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #12
  Nov 8, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Bha haha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  We malembeka weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!

  Duh!
   
 13. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #13
  Nov 8, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,344
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
   
 14. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #14
  Nov 8, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Tumsamehe bure. Ukiona mtu anatukana hovyo ujue umegusa anapopata mkate wake wa kila siku. hawa ndio wanaotumiwa na maponjoro hawa kuua nchi yetu na mwananchi mmoja anaposhituka, wanakimbilia kumuita rasict! Unaujua uracist wewe?? Nenda India uone kama wanajigonga gonga kwa mswahili tofauti na wabantu wa huku wanavyolamba miguu ya maponjoro hawa kwa kutaka ulua!!!
   
 15. w

  wise-comedian JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2017
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,455
  Likes Received: 2,511
  Trophy Points: 280
  Vijana wa Lumumba na ufipa hivi haya mafaili huwa mnayafungua kweli!?
   
 16. kisu cha ngariba

  kisu cha ngariba JF-Expert Member

  #16
  Feb 18, 2017
  Joined: Jun 21, 2016
  Messages: 20,244
  Likes Received: 44,036
  Trophy Points: 280
  Mh
   
 17. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2017
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 2,140
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  EL saivi tayari ni malaika na Manji anaonewa na serikali, wapinzani Tz hii ni wanafiki wa kiwango cha dunia kabisa.
   
 18. amshapopo

  amshapopo JF-Expert Member

  #18
  Feb 18, 2017
  Joined: Sep 7, 2014
  Messages: 269
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 80
  hueleweki maana naona unajipiga chenga mwenyewe.
   
 19. Countrywide

  Countrywide JF-Expert Member

  #19
  Feb 18, 2017
  Joined: Mar 2, 2015
  Messages: 2,518
  Likes Received: 1,839
  Trophy Points: 280
  duh
   
 20. cansir

  cansir JF-Expert Member

  #20
  Feb 18, 2017
  Joined: Dec 6, 2016
  Messages: 303
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 80
  Sheria zipo, waendesha mashtaka wapo, wapelelezi wapo, mahakimu wapo wote hao wahafanyi kazi zao kikamilifu hadi watoke watu jf basi hii nchi na Inatatizo coz hata hao wanasheria wa jf watapitia taratibu hizohizo ambazo zinashindwa kufanya kazi
   
Loading...