Vita Dhidi ya Dawa Za Kulevya: Makonda Anapaswa Kuhojiwa!

Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
13,495
29,859
Let’s dump all cra'ps and get down to the nitty-gritty!! Paul Makonda amevurunda kwa kiasi kikubwa issue ya mihadarati!

Tuweke kwanza pembeni masuala ya bangi na tujikite kwenye cocaine na heroine!

Jana Kamanda Simon Sirrro ameripotiwa akisema waliokamatwa hadi hivi sasa ni watu 349 na pipi 601 za heroine na cocaine zimekamatwa!!

Endapo hizo pipi zingekamatwa toka kwa Punda wanaomeza mzigo; pipi 601 ni almost 6 kg zinazoweza kubebwa na punda 6 pekee... maximum 10 unless kama unatumia amateurs!!

Remember, Punda wanaomeza mzigo wanawafanyia kazi SME Drug Dealers kwa maana ndio wanatumia hiyo njia!! Drug Dealers wa ukweli washaachana na hivi vipipi ambavyo vinaongeza risk kwa sababu, ONLY 50 Kg utahitaji angalau Punda 50 kama utataka kusafirisha kwa mara moja!!

Kinyume chake, wana-opt kusafirisha mzigo mzima mara moja... wakikamatwa; wamekamatwa na wakitoboa wanakuwa wametoboa kweli kweli!

Kwahiyo ni kichekesho kama sio kiroja kutamba huku na kule kwamba vita dhidi ya dawa za kulevya imepamba moto wakati mihadarati iliyokamatwa ni equivalent to Punda 6!!

Punda 6 wanaweza kupatikana kwenye kata moja tu ya Wilaya ya Temeke ambayo ni chamtoto mbele ya Kinondoni linapokuja suala la idadi ya Punda! Kwa Magomeni, Punda 6 unaweza kuwapata kwenye mtaa mmoja tu!!

Mwaka 2012 Maureen Lyumba alikamatwa na 210 kg za heroine! 210 kg ni equivalent to Punda 200 waliokamatwa na mzigo red-handed compared na equivalent to Punda 6 waliokamatwa hivi sasa!!

Hapo hapo kwa Maureen, uchunguzi ulionesha Drug Baron anayehusika na mzigo ni Shikuba... watu hawakupiga makelele!!!

Ingawaje Shikuba alichoropoka na kukimbilia Afrika Kusini lakini waliendelea kumuwinda kimya kimya hadi walipomdaka miaka 2 baadae pale airport (Dar) wakati akitokea SA!!

Bila shaka kwa staili hii ya Makonda, angeitisha Press Conference na kuanza "Yulee drug baron anayefahamika hadi na serikali ya Marekani tumepata taarifa anakuja kutokea South Afrika! Tumeshawaambia Uhamiaji na askari wa airport ili akitia pua tu; akamatwe!!!"

Hicho ndicho alifanya kwenye episode 1 !! Makonda alitangaza hadharani kwamba kuna mtu wanamlia mingo pale airport na anatokea China na mzigo wa kutosha!!

Ni mpumbavu gani angeendelea na saafari hata baada ya kuwa ameambiwa tunakusubiri airport?!!!

Mwaka 2013 kuna "Mchungaji" alikamatwa na 40 kg za heroine kule Tegeta lakini Nzowa aligoma kabisa kumtaja kwa kile alichosema ingeharibu uchunguzi!!! "Mchungaji” huyo alikamatwa na raia wawili wa kigeni.

Hata hao raia wawili, Nzowa aligoma kuwataja!!!

Mwaka juzi (Early november 2015) wakati watu wapo kwenye shamra shamra na wengine kwenye maumivu ya uchaguzi mkuu; kuna Mchungaji raia wa Nigeria alihukumiwa kwenda jela miaka 30 na faini sh. 9 billion! Pamoja nae, kulikuwa na raia mwingine wa SA na mwingine wa Pakistani!

Huyu ilidaiwa alikamatwa Kunduchi kwa kukutwa na 80kg za heroine.... compare from 40 kg above!!

Now look... yule "Mchungaji" ambae Nzowa aligoma kumtaja mwaka 2013 alitokea Tegeta, alikuwa na raia wengine wa kigeni 2, alikutwa na 40 kg!!

Na yule aliyehukumiwa 2015 nae alikuwa ni "mchungaji", anatokea Kunduchi, alikuwa na raia 2 wa kigeni na mzigo 80 kg!!!

Ukiunganisha dots hapo utagundua kwamba yule ambae Nzowa aligoma kumtaja mwaka 2013 ndie yule yule aliehukumiwa 30 years mwaka 2015!!!

What if wangepiga kelele kwenye live tv coverage kwamba wamemkatama mchungaji so and so!!! Unadhani hizo additional 40 kg zingepatikana?!

Hapa si kwamba naupongeza uongozi wa Nzowa... hata nae alikuwa ni failure!! Lakini pamoja na yote hayo bado utaona ni namna gani pamoja na failure ya Nzowa lakini matukio yake machache yalikuwa na impact kubwa kuliko haya tunayoambiwa eti vita imepamba moto!!!

Hapa let's call a spade a spade!! Makonda ameharibu moja kwa moja what's so called vita dhidi ya dawa za kulevya!!! Na ninavyoona, anastahili kabisa kukamatwa na kuhojiwa ili kufahamu ikiwa alichofanya si kwamba alikusudia kutoa tahadhali kwa real drug barons ili wafiche ushahidi!!!

Na ni kutokana na hatua hii ya Makonda ndio maana Kamanda Sirro hana namna zaidi ya kwenda kuwapima watuhumiwa kwa Mkemia Mkuu! Anachukua huo uamuzi kwa sababu anafahamu hawatakuwa na kesi yenye ushahidi dhidi yao baada ya kuwa walishapewa muda wa kupoteza kabisa ushahidi!

Hivyo, ni bora kwa Kamishina Sirro awapate japo na kesi ya kutumia dawa za kulevya ili ionekane vita vinapamba kasi kuliko kuwaachia mamoja!!!!

Na hapa utaona kwamba wale wanaomuunga mkono Makonda wanatetea wauza mihadarati wakubwa kwa sababu wanafahamu kwa staili yake hii hawatapatikana na hatia kinyume na wanavyotaka tuamini!!
 
pamoja na yooote haya... wakulaumiwa mkuu ni DOGOJANJA aka CHABURUMA aka MUKUBWA aka CHAMDOLI ndie alivuruga mipango ya kuwanasa mapapa wakubwa kwa kuwa alikurupuka kwa kuanza kuimba nyimbo yake uchwara na waliposikia ikawa ndio amewakurupusha na mwishoe wameambulia vikete 600 vinvoweza kumezwa na punda watatu wane kati ya watuhumiwa 400. hii ni aibu katika zoezi hili la madawa hatarishi. hivii vile viroba wanakamata kwenye maboti.. melini mbona havitajwi?
 
Ndicho alichokuwa anataka iwe hivyo, yaani atangaze mapema ili washirika wake wapate nafasi ya kukimbia na kuficha ushahidi.
Makonda ni muhusika no.1 wa hii scandal
 
Hao wachungaji wawili wa Tegeta na Kunduchi walikamatwa na 120Kg. Je zipo wapi?? Waliokamata wanaweza kuzionesha leo? Kama waliteketeza waliteketeza lini na je, wana ushahidi kuwa wameziteketeza?
 
Kawaulize kitengo cha kuzuia dawa za kelevya...
 
Azani alitajwatajwa sana kuhusika na uuzaji wa madawa ya kulevya,lakini sasa anamshukuru Makonda kwa kumtuhumu na sasa amesafishika Si mhusika tena wa biashara hiyo (kirahisi hivyo) haramu
Umeona enh!! Hata Mchungwaji Gwajima ametajwa sana lakini hivi sasa unaanza vp kumtuhumu Gwajima!!!!!
 
hapa kuna kundi au genge moja la watu wa mambo hizi waliona biashara imekuwa ngumu competition kubwa wakaamua kuwatisha kwa kumtumia dogojanja ili wabaki kwenye game,sitaamini kama ni vita mpaka majina fulani yaitwe kuhojiwa otherwise siro anacheza bolingo kwa kufuata rithm bila kuelewa kinachoimbwa
 
Azani alitajwatajwa sana kuhusika na uuzaji wa madawa ya kulevya,lakini sasa anamshukuru Makonda kwa kumtuhumu na sasa amesafishika Si mhusika tena wa biashara hiyo (kirahisi hivyo) haramu
makonda ni wa kushtakiwa kwa kosa la kuwasaidia wauza unga kukimbia
 
Tatizo makonda hawezi kufanya kitu kimya kimya anapenda media immulike attention yote iwe kwake.maybe ameshajifunza .kumkamata drug dealer inachukua muda uwe makini na u deal na watu wengi. Uwe na informants, polisi na siri zisivujwe.maana ipatikane evidence ya kutosha.otherwise itakuwa bla bla tu
 
Back
Top Bottom