Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,324
- 152,136
"Mtu mzima na akili zako unaamka asubuhi kisha unaingia bafuni unaogo unaingia chumbani kwako unapiga suti yako na tai alafu unaingia kwenye gari ya serikali unaelekea ofisini."
"Unaingia ofisi ya umma unaanaza kutekeleza majukumu yako(unapitia mafaili,n.k) huku ukipata kikombe cha chai na vitafunwa kwa kodi za wananchi alafu kumbe una cheti feki na wala hushituki japo unanyooshewa vidole huku tuhuma umeshindwa kuzikanusha na usingizi unapata sio nyumbani tu bali sometimes hata kwenye kochi ofisini kwako"
Alafu Jumapili ikifika huyo kanisani!!
Only in Tanzania!