LAZIMA NISEME
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 240
- 267
Wadau najiuliza tu maswali na naomba kueleweshwa,sheria zetu zina semaje kwa kiongozi yeyote yule mstaafu anaposafiri Nje ya Nchi na akakataa ulinzi ama mlinzi wake asiambatane nae,inamaanisha nini?
Je ikitokea akafanya hivyo sheria inasemaje?
Na nini wajibu wa Nchi anakokwenda iwe kwa matibabu ama kwa matembezi?
Je likitokea lolote Nchi husika ama mlinzi wake atakuwa na nafasi gani kisheria?
Je ikitokea akafanya hivyo sheria inasemaje?
Na nini wajibu wa Nchi anakokwenda iwe kwa matibabu ama kwa matembezi?
Je likitokea lolote Nchi husika ama mlinzi wake atakuwa na nafasi gani kisheria?