Kwa mbali tunaanza kuwagwaya ACACIA na mchanga wa madini

babake nasreen

JF-Expert Member
Oct 30, 2014
702
490
Habari za siku hii wanajamvi, nimekaa nakuona kuwa kuna dalili za sisi kuwa wapole juu ya kampuni ya MADINI ya Accacia kuhusu kile kinachoitwa MAKINIKA (Mchanga) na kabisa naona tunaanza kutia huruma.

Nimemsikia Waziri mkuu lkn pia nimewasikia wazee wa Ccm, wakisema kwamba lengo la kuzuia ule mchanga ni

"KUTAKA KUJIRIDHISHA TUU ILI NA SISI TUJUE NINI KILICHOMO MLE NDANI YA ULE MCHANGA BASII"

Sasa nikipima maneno ya mwanzo ya wakuu pia maneno yale baada ya ile report yalivyokuwa na msisitizo na nikilinganisha na kauli za KINYONGE ZA sasa naona tumenywea na kuna dalili tukachemka ktk "BATTLE" hii na hawa jamaa maana mikataba tuliyoingia wenyewe mwaka 1998 ndo inatumaliza leo.

Sijui wenzangu mnaonaje.
 
Kama unatabiri vile au?
 
Si tunaona wewe ni mjinga tu na una mawazo ya kushindwa shindwa. Na nakwambia uendelee kuishi hivyohicyo na umaskini wako na maisha yako. Hatutaki upuuzi wa ramli zisizokuwa na kichwa wala miguu.
 
Back
Top Bottom