Ridhiwani ahoji Serikali kujitapa uchumi kukua wakati wananchi hawana maisha bora

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,296
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete amesema serikali ingetafuta vyanzo vingine vya mataumizi na sio kodi peke yake na pia kuona maisha ya wananchi yanakuwa bora kutokana na kukua kwa uchumi

Vyanzo vipya vya mapato amesemaserikali inaweza kutumia municipal bonds na infrastructure bonds kama vyanzo mbadala vya kodi na benki za kimaendeleo zinaweza kutumika kukusanya fedha za kusaidia miradi ya maendeleo kwa njia ya levarage na zimetumika kwenye nchi kama Ujerumani na Japan

Amesema pia wananchi wanaona serikali inajitapa uchumi umekuwa huku maisha yao yanazidi kuwa magumu zaidi na tafsiri ya maendeleo na uchumi ni na maisha yaliyo bora ni maendeleo yanayofanana na maisha anayoishi, ameunga mkono mipango ya wizara ya fedha ila waziri ajue wananchi wana hali mbaya

Charlatan speaks about Economics. Mchumi mwenye shahada ya Sheria.

Alihoji hayo wakati baba yake akiwa rais?

Huyo baba yake si ndo alikuja na ile kauli mbiu ya maisha bora kwa kila Mtanzania...

Akamwulize kwanza baba yake hayo maisha bora kwa ile miaka 10 yako wapi!!
Hoja ujibiwa kwa hoja na sio vihoja!!
 
hayo wakati baba yake akiwa rais?

Huyo baba yake si ndo alikuja na ile kauli mbiu ya maisha bora kwa kila Mtanzania...

Akamwulize kwanza baba yake hayo maisha bora kwa ile miaka 10 yako wapi!
Yaani hawa akina ridhiwani ndo wametufikisha huku sasa anamuhoji nani?? Kipindi wanakula milungula mbona walikuwa hawajioji.. Yani vitu vingine tunatiana hasira tu
 
Alihoji hayo wakati baba yake akiwa rais?

Huyo baba yake si ndo alikuja na ile kauli mbiu ya maisha bora kwa kila Mtanzania...

Akamwulize kwanza baba yake hayo maisha bora kwa ile miaka 10 yako wapi!!
Ngoja nishuke kwenye mwendo kasi nisome vizuri...
 
Alihoji hayo wakati baba yake akiwa rais?

Huyo baba yake si ndo alikuja na ile kauli mbiu ya maisha bora kwa kila Mtanzania...

Akamwulize kwanza baba yake hayo maisha bora kwa ile miaka 10 yako wapi!!
Kipindi cha baba yake watu walikuwa na pesa mifukoni ....MAISHA YATAKA NINI ZAIDI YA PESA NDUGU. Kiukweli "huyu ajaye nyuma yangu
'ni wa kuogopwa sana maana sio kukauka huku kwa pesa...
KWA HIYO YUKO SAHIHI KABISA
 
Back
Top Bottom