Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Najaribu kuwaza na kuwazua kuwa Mh A.Mrema na Mh Lipumba ni wawakilishi wa wapinzani kwa Wagen wakija. Kwahiyo inaonekana Serikali na Wapinzani wako Vizuri.
0 Reactions
2 Replies
650 Views
Wiki mbili zilizopita nilipata fursa ya kutembelea nchi jirani kwa mwaliko wa ndugu yangu anayekaa huko katika Province flani, wilaya flani(samahani kwa kutokuweka wazi). Kiujumla hali ya hewa...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Namna hii maendeleo Tz kuyafikia ni vigumu.Mradi mkubwa wa umwagiliaji ktk eneo la Ibanda/Igaka wilayani Geita umekwama kuanza kwa sababu Chama kimoja kikubwa cha upinzani kinaupinga kwa sababu za...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari Azam Tv na kuona habari ambayo inakichwa cha habari cha "Kibarua chaota nyasi kikaoni" ambako mkuu wa wilaya kamfukuza kazi mwenyekiti wa mtaa katika moja ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
NUSU MWAKA BILA BEN SAANANE: Hatua 7 ngumu SAKATA la kupotea kwa Msaidizi wa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) taifa, Ben Focus Saanane, litatimiza nusu mwaka wiki ijayo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimekuwa nikiwaza mara kwa mara juu ya sababu ya nchi yetu kuwa tulivyo hasa kwa siasa tulizonazo. Nahisi tatizo kubwa kwetu ni kwa kuwa tunachagua watu ambao tunawapa dhamana ya kutuongoza kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wanabodi, heshima kwenu wakuu, Nadhani wote tunaamini elimu bora ndio msingi wa maendeleo, ila sasa elimu hii inaharibiwa na mamlaka husika zipo kimya zimetulia, sijui kama sababu ni rushwa...
0 Reactions
1 Replies
548 Views
WanaJF! Taarifa zilizo nifikia kutoka Ikulu hivi punde zinasema, mhe Mbowe ambae ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa na mbunge wa jimbo la Hai, amepata mwaliko Ikulu na hivi sasa ana jumuika na...
4 Reactions
369 Replies
26K Views
Nikifatilia maoni ya wanazi wa chama cha Chadema wanaona kama Bunge Limechagua Watu ambao ni dhaifu sana na kutaka kukataa kukubaliana na Jambo hilo la Kidemokrasia. Tabia hii ya kulialia kwa...
11 Reactions
46 Replies
5K Views
Waungwana wiki nzima hii nimeshuhudia kapuni moja ya Logistics ya Kenya ( nafikiri) wakipitisha hapa Uganda yale magari makubwa ya kubeba magari mengine ( sijui yanaitwaje kitaalamu) yakiwa...
1 Reactions
4 Replies
989 Views
Kwako mheshimiwa Rais YAH : OMBI LA NAMNA YA KUWASHUGHULIKIA WENYE VYETI FEKI Shikamoo mheshimiwa Rais, Nianze kwa kukupongeza na kukushukuru kwa kazi nzito sana ya kuipa uongozi nchi yetu...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
  • Redirect
Maofisini ni mwendo wa kuwahi,kila mtu anaogopa kuleta ujanja ujanja.Maaskari wa barabarani wamekuwa waoga wa kupokea pesa hata ile ya kubrashia viatu.Mtaani heshima ya akina baba imerudi upya.Bia...
2 Reactions
Replies
Views
Wabunge wametaka shughuli za Bunge za leo ziliahirishwe ili wabunge wajadili tatizo la mafuriko liloyakumba maeneo mbalimbali nchini ambayo yameacha watu bila makazi na kusababisha vifo. Wabunge...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Redirect
Mwanafunzi wa mwaka wa 4 fani ya uuguzi amekamatwa na misokoto 800 ya bangi.Amekiri na kudai wateja wake ni wanafunzi wenzake wa hapo Udom.RPC Mambosasa amesema zoezi la kuwakamata watumiaji...
0 Reactions
Replies
Views
Tumewahi kusikia viongozi mbalimbali duniani wakikataa kufanyiwa mambo ya kutukuzwa na wengine hata kukataa kulipwa mishahara mikubwa ya anasa ili tu wajaribu kuishi kama raia wengine wa kawaida...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Juu ya Sakata la Ndege, Serikali Ina Maswali Mengi ya Kujibu Nimesoma ripoti maalum ya Gazeti wiki la Jamhuri la Leo Jumanne, Mei 9, 2017 yenye kichwa cha habari 'Zitto Anyukwa' inayohusu...
20 Reactions
63 Replies
6K Views
Leo Tarehe 12/05/2017..kwa Mara ya kwanza nimepata nafasi ya kuchangia kwenye bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji. Nimegusia sehemu kubwa ya Wilaya ya Serengeti na kwa namna palivyo na uhaba...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
  • Redirect
Mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz ambaye juzi aliandikwa na gazeti la NIPASHE kwamba anadaiwa shilingi milioni 400 za kodi na TRA, amepost kipande cha video fupi ambacho Mbunge wa Mikumi...
36 Reactions
Replies
Views
ZIARA YA RAIS ZUMA : Mapokezi ya Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma alipowasili Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Tanzania John Magufuli akiwa na Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma katika ikulu...
5 Reactions
108 Replies
16K Views
Leo Mjini Dodoma Mbunge wa Ukonga Mh, Waitara amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Wabunge wa Chadema Kanda ya Pwani yenye Mikoa ya kichama ya Dar es Salaam na Pwani. Katika Kikao hicho pia Mbunge wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom