Basham
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 743
- 433
Amani iwe kwenu wana Jamvi,
Kwa mara ya kwanza IGP kuongea kwenye vyombo vya habari anatoa kauli hii yenye utata kwa Raia, Kama heading inavosomeka, nmesikia mkutano huo wa IGP na vyombo vya habari lakini nimetoka na maswali lukuki,
Kutokana na hali ya matukio ya mauaji kuongezeka Ingekua BUSARA SANA KWAKE KUSEMA TUTAFANYA KAZI KWA KUZINGATIA KATIBA NA SHERIA, Kuliko alivosema sasa ni vitendo tuu
Ina maana raia tutakiona cha mtema kuni kupigwa, kuonewa,n.k
Nawasilishaa, Ni maoni yangu twende kistaarabu