Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Ni live kutoka ukumbi wa mikutano wa Diamond jijini DSM, wanaongea kwa uchungu mno. fuatilia LIVE kupitia TBC1 NA HAPA JF KATIKA UZI HUU ======= Anaeongea kwa sasa ni mgeni Rasmi, mzee Butiku na...
16 Reactions
99 Replies
9K Views
Katika kile nilichowaonea huruma Wananchi wa Singida ni pale waliponiambia kuwa wamekosa Uwakilishi ndani ya Bunge la Muungano wa Tanzania. Mwananchi Mmoja aliongea kwa uchungu kuwa Mbunge wake...
4 Reactions
92 Replies
8K Views
  • Redirect
Wabunge wataka ‘road license’ ifutwe
0 Reactions
Replies
Views
Ni mbuge wa jimbo la kilwa kupitia tiketi ya chama cha wananchi CUF nimetokea kupenda uwasilishaji wa jumbe zake kwa mtindo wa mzaha lakini ukichunguza kwa umakini mara zote huongea vitu vyenye...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mheshimiwa Rais sasa mwendo Mdundo na hataki mchezo kabisaa na hajaribiwi. Kampuni hizi zilikuwa zinachimba dhahabu huko kwenye migodi ya Bulyanhulu, North Mara na Buzwagi. Tusisahu kuwa hawa...
8 Reactions
115 Replies
22K Views
Ripoti ya Amnesty International Kwa mujibu wa shirika la Amnesty International Kenya na Tanzania zimetajwa katika jumla ya nchi za kiafrika ambazo zimekuwa mstari wa mbele kuwakandamiza...
3 Reactions
62 Replies
6K Views
Waliosaini mikataba mibovu wako nchini wanakula raha, kada wa CHADEMA Yeriko Nyerere amelala sero, alafu bado unamatumaini na maendeleo na taifa. Kwa tafsiri ya sheria za Tanzania, Yeriko Nyerere...
11 Reactions
38 Replies
3K Views
Najiuliza swali kama hilo juu ya taharuki itakayoikumba Tanzania pale tume namba mbili iliyoundwa kwa ajili ya kuchunguza mchanga itakapokuja na matokeo tofauti kabisa na Yale ya time no mbili...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
  • Redirect
#KutokaBungeni Mbunge wa Jimbo la Kibamba John Mnyika ametolewa Bungeni na Askari wa Bunge kwa amri ya Spika. Kufuatilia tukio hilo Wabunge wa Upinzani wametoka nje baada ya Mbunge huyo kutolewa...
0 Reactions
Replies
Views
Wanaccm, salaam!! Nafahamu kuwa huenda Mhe. Dkt John Pombe Magufuli - Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania akaamua kwa mara nyingine kugombea nafasi hiyo kwa awamu ya pili. Hata sambamba na...
0 Reactions
1 Replies
750 Views
  • Redirect
Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa Mamlaka ya uteuzi ya Tanzania . Nafahamu kwamba nafasi za uteuzi wa wabunge kwa mujibu wa katiba umemalizika , lakini chini ya ccm hakuna kisichowezekana , anaweza...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Uzalendo siyo kupingana namafisadi tu Bali hata kuipenda nchi, watu wake na maisha yao kwa ujumla ni uzalendo. Sasa tujiulize kama mtu kaingia madarakani kafuta Ajira na kuwaacha vijana wakielea...
4 Reactions
Replies
Views
BULLIONISM, IMPERIALISM na NEOCOLONIALISM. Bullionism is an economic theory that defines wealth by the amount of precious metals owned. Bullionism is an early or primitive form of mercantilism...
3 Reactions
3 Replies
875 Views
  • Redirect
Baada ya Rais Magufuli kuzindua mfumo utakaotumika kulipa kodi hapa nchini ni dalili tosha kuwa serikali inaelekea kuthibiti ukwepaji wa kodi za ndani uliokuwa ukifanywa na makampuni makubwa. Kwa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
kwanza nashukuru kwa maoni ya wanaojiita wasomi ni kweli wanajiita wasomi wametoa maoni yao walioyaita ya kisomi,sasa mimi ctaki kuwanukuu ila mimi kama Darasa LA Saba natoa maoni Yangu 1:Kwanini...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Moja ya vitu ambavyo vipo dhahiri kwa sasa ni Tundu Lissu kutokuwa na mvuto wa kisiasa jimboni kwake Singida Mashariki. Hii ndio sababu kuu kwa sasa inyomfanya kuangalia jinsi atakavyotengeneza...
3 Reactions
Replies
Views
Wazungumzaji: Ndugu Kabwe Z. Ruyagwa Zitto Kiongozi wa Chama - ACT Wazalendo Mama Anna Elisha Mghwira Mwenyekiti wa Chama - ACT Wazalendo. Dr. Rugemeleza Nshala Mkurugenzi Mtendani -Chama cha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Redirect
Mwaka 1955 Libya iliingia mkataba wa kuchimba mafuta na kampuni ya Kimarekani iliyokuwa inaitwa 'Libyan American Oil Company' wakati huo Libya ikiwa chini ya Mfalme Idris. Baadaye Marehemu...
8 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kuna hii issue ambayo siku za hivi karibuni imekuwa inaongeleka na kujitokeza mara nyingi sana hasa kunapotokea majanga/maafa au misiba hasa ya kitaifa kuwa pesa/michango ya rambirambi huwa...
1 Reactions
Replies
Views
IGP Sirro amewaita makamanda wa polisi wa mikoa yote kuja Dar es Salaam kwa ajili ya kikao maalumu ambacho kitafanyika kesho kuanzia saa moja na nusu asubuhi. “Nimewaita makamanda wote wa mikoa...
5 Reactions
92 Replies
8K Views
Back
Top Bottom