Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Lumumba elimu elimu elimu!
Majuzi rais wa Marekani bwana Donald Trump kapendekeza dhima ya nchi yake kujitoa kwenye mkataba wa Roma conversation kuhusu utunzaji wa mazingira hasa naendeleo ya viwanda kwa kupunguza hewa chafu.
Kumbuka USA na nguvu zote hajavunja mkataba ila anaoeleka pendekezo la kujiondoa kwanza kwenye mkataba na si kuchafua mazingira nje ya mkataba.
Tukumbuke hapa kwetu hatujajitoa wala kufuta sheria ila tunavunja mikataba.
Mkiambiwa tumieni utaratibu mnasema sio uzalendo hivi mmerogwa?