Somo la kujifunza kutoka kwa Muammar Gaddafi

Nilufer

JF-Expert Member
May 10, 2012
9,566
13,540
Mwaka 1955 Libya iliingia mkataba wa kuchimba mafuta na kampuni ya Kimarekani iliyokuwa inaitwa 'Libyan American Oil Company' wakati huo Libya ikiwa chini ya Mfalme Idris. Baadaye Marehemu Muhammar Gaddafi akafanya mapinduzi na kuitawala Libya.

Muammar Gaddafi alikuta Libya ipo kwenye mikataba ya ajabu ya Mafuta na kampuni hiyo ya USA ambayo ilikuwa inanufaisha wazungu kuliko Libya na siku moja kwa hasira sana na uchungu wa kuona nchi yake inanyonywa kwa neno MKATABA alisema... "WANANCHI WA LIBYA WALIISHI MIAKA 5,000 BILA OIL HAKUKUWA NA TATIZO KWA HIYO WANAWEZA KUACHANA NA OIL MPAKA NITAKAPOREKEBISHA MIKATABA UPYA ILI WANUFAIKE NA MAFUTA YAO"

Muammar Gaddafi kwa ujeuri mkubwa akafanikiwa kubadilisha mikataba na kwa mara ya kwanza Libya ikaanza kuchukua 51% ya mapato ya mafuta yake kutoka 25% ya mikataba uchwara na akafanikiwa kutaifisha uchimbaji na utafutaji mafuta Libya kwa 100% ikawa chini ya Taifa lake.Libya ikawa Taifa la kwanza Duniani kufanikiwa kuwa na Majority Share ya Mafuta yake ingawa pia Mabadiliko hayo ya sheria yaliingiza Libya katika migogoro mkubwa sana na Kampuni ya Libyan American Oil Company kiasi cha kufungua kesi dhidi ya Libya kama nchi na baadaye Libya kulazimishwa kuilipa kampuni hiyo pesa nyingi na mahakama ya Dunia.

Bado Muammar Gaddafi hakujali alisema.... "HATA TUKIWALIPA MAPATO YOTE TUNAYOYAPATA LAKINI CHA MSINGI NI PESA YA MAFUTA YETU SIO YAO KAMA ILIVYOKUWA"

Baadaye Libya ilifanikiwa kumaliza deni na kuwa Taifa la kwanza Afrika kufanikiwa kuwa na Social Security ya kuwatunza wazee wote nchini humo.

Leo Tanzania miaka 55 ya uhuru bado tunahangaika na wachimba madini yetu, leo Rais Magufuli anataka tuanze kufikiria kama Muammar Gaddafi kuna wanaopinga na kutaka tuendelee kuwalamba miguu Wazungu. Hapana tunaweza kufanya aliyoyafanya Muammar Gaddafi. Yaani Tunaweza kuchimba madini yetu kama tutaachana na Dollar na kununua 'TECHNOLOGY' ya kuchimba madini yetu wenyewe.

Rais Magufuli kanyaga twende, asiyetaka akae pembeni! ..

By @ZimemaThole
#HapaKaziTu✔✔✔✔
 
Well said Mzalendo, well said!! Cha msingi tuwe pamoja na Rais kama kweli tumeamua mara nyingi viongozi wazalendo wa kweli mlinzi wao mkuu ni Wananchi ni muhimu apate kuungwa mkono na wananchi lakini hawa mabeberu wakiona hana support ya kutosha watamwondosha hawa!!! Vita ya uchumi si mchezo. Tuombe mababu zetu wawe nasi kipindi hiki kigumu chenye utata!!
 
Mwaka 1955 Libya iliingia mkataba wa kuchimba mafuta na kampuni ya Kimarekani iliyokuwa inaitwa 'Libyan American Oil Company' wakati huo Libya ikiwa chini ya Mfalme Idris. Baadaye Marehemu Muhammar Gaddafi akafanya mapinduzi na kuitawala Libya.

Muammar Gaddafi alikuta Libya ipo kwenye mikataba ya ajabu ya Mafuta na kampuni hiyo ya USA ambayo ilikuwa inanufaisha wazungu kuliko Libya na siku moja kwa hasira sana na uchungu wa kuona nchi yake inanyonywa kwa neno MKATABA alisema... "WANANCHI WA LIBYA WALIISHI MIAKA 5,000 BILA OIL HAKUKUWA NA TATIZO KWA HIYO WANAWEZA KUACHANA NA OIL MPAKA NITAKAPOREKEBISHA MIKATABA UPYA ILI WANUFAIKE NA MAFUTA YAO"

Muammar Gaddafi kwa ujeuri mkubwa akafanikiwa kubadilisha mikataba na kwa mara ya kwanza Libya ikaanza kuchukua 51% ya mapato ya mafuta yake kutoka 25% ya mikataba uchwara na akafanikiwa kutaifisha uchimbaji na utafutaji mafuta Libya kwa 100% ikawa chini ya Taifa lake.Libya ikawa Taifa la kwanza Duniani kufanikiwa kuwa na Majority Share ya Mafuta yake ingawa pia Mabadiliko hayo ya sheria yaliingiza Libya katika migogoro mkubwa sana na Kampuni ya Libyan American Oil Company kiasi cha kufungua kesi dhidi ya Libya kama nchi na baadaye Libya kulazimishwa kuilipa kampuni hiyo pesa nyingi na mahakama ya Dunia.

Bado Muammar Gaddafi hakujali alisema.... "HATA TUKIWALIPA MAPATO YOTE TUNAYOYAPATA LAKINI CHA MSINGI NI PESA YA MAFUTA YETU SIO YAO KAMA ILIVYOKUWA"

Baadaye Libya ilifanikiwa kumaliza deni na kuwa Taifa la kwanza Afrika kufanikiwa kuwa na Social Security ya kuwatunza wazee wote nchini humo.

Leo Tanzania miaka 55 ya uhuru bado tunahangaika na wachimba madini yetu, leo Rais Magufuli anataka tuanze kufikiria kama Muammar Gaddafi kuna wanaopinga na kutaka tuendelee kuwalamba miguu Wazungu. Hapana tunaweza kufanya aliyoyafanya Muammar Gaddafi. Yaani Tunaweza kuchimba madini yetu kama tutaachana na Dollar na kununua 'TECHNOLOGY' ya kuchimba madini yetu wenyewe.

Rais Magufuli kanyaga twende, asiyetaka akae pembeni! ..

By @ZimemaThole
[HASHTAG]#HapaKaziTu[/HASHTAG]
Tatizo la maelezo yako marefu sana yasiyo na weledi ni kutojiuliza kama unayoyasema ni kweli kwanini Kadafi aliuawa na raia wake? Kwanini muda wote wa utawala wake alichinja raia wake wengi ndani na nje ya nchi? Kwanini utawala wake ulipinduliwa na raia haohao unaodai aliwapigania?

Kwa hiyo ni sahihi ungelihitimisha kwa kusema kilichomkuta Kadafi kitamkutaaaa

Au wembe uliomnyoa Kadafi kumnyoaaaa....... Malizia tahariri yako isiyo na hitimisho
 
Mwaka 1955 Libya iliingia mkataba wa kuchimba mafuta na kampuni ya Kimarekani iliyokuwa inaitwa 'Libyan American Oil Company' wakati huo Libya ikiwa chini ya Mfalme Idris. Baadaye Marehemu Muhammar Gaddafi akafanya mapinduzi na kuitawala Libya....Gadafi alikuta Libya ipo kwenye mikataba ya ajabu ya Mafuta na Kampuni hiyo ya USA ambayo ilikuwa inanufaisha Wazungu kuliko Libya na siku moja kwa hasira sana na uchungu wa kuona nchi yake inanyonywa kwa neno MKATABA alisema..... "WANANCHI WA LIBYA WALIISHI MIAKA 5,000 BILA OIL HAKUKUWA NA TATIZO KWA HIYO WANAWEZA KUACHANA NA OIL MPAKA NITAKAPOREKEBISHA MIKATABA UPYA ILI WANUFAIKE NA MAFUTA YAO" ....Gadafi kwa ujeuri mkubwa akafanikiwa kubadilisha Mikataba na kwa mara ya kwanza Libya ikaanza kuchukua 51% ya mapato ya Mafuta yake kutoka 25% ya Mikataba uchwara na akafanikiwa kutaifisha Uchimbaji na Utafutaji mafuta Libya kwa 100% ikawa chini ya Taifa lake....Libya ikawa Taifa la kwanza Duniani kufanikiwa kuwa na Majority Share ya Mafuta yake ingawa pia Mabadiliko hayo ya sheria yaliingiza Libya katika migogoro mkubwa Sana na Kampuni ya Libyan American Oil Company Kiasi cha kufungua kesi dhidi ya Libya kama nchi na baadaye Libya kulazimishwa kuilipa Kampuni hiyo pesa nyingi na mahakama ya Dunia ....bado Gadafi hakujali alisema.... "HATA TUKIWALIPA MAPATO YOTE TUNAYOYAPATA LAKINI CHA MSINGI NI PESA YA MAFUTA YETU SIO YAO KAMA ILIVYOKUWA" ....baadaye Libya ilifanikiwa kumaliza deni na kuwa Taifa la kwanza Afrika kufanikiwa kuwa na Social Security ya kuwatunza Wazee wote nchini humo...leo Tanzania miaka 55 ya uhuru bado tunahangaika na wachimba madini yetu now leo Rais Magufuli anataka tuanze kufikiria kama Gadafi kuna wanaopinga na kutaka tuendelee kuwalamba miguu Wazungu ....Hapana tunaweza kufanya aliyoyafanya Gadafi yaani Tunaweza kuchimba madini yetu kama tutaachana na Dollar na kununua 'TECHNOLOGY' ya kuchimba madini yetu wenyewe RAIS MAGUFULI KANYAGA TWENDE asiyetaka akae pembeni
FB_IMG_1496348823475.jpg
FB_IMG_1496348823475.jpg

[HASHTAG]#HapaKaziTu[/HASHTAG]
 
Hatuko serious tunaigiza tu. Mataputapu anamuiga Kagame.
Tunataka siasa safi, uongozi bora na ubunifu ili tuendelee. Sio kukremu idadi ya samaki majini huku Uchumi unakufa
ko mkuu yani wewe unaona nani hayuko serious???
 
Magu aluta continua. Usiogope kelele za wanaonufaika na mikataba mibovu na wizi wa madini. Kama mbwai mbwai tunatamabadiliko madini yetu yatunufaishe sote.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Ingekuwa nchi nyingine viongozi wa CCM waliotufikisha hapa na chama chao sijui kama wangekuwa hapo walipo sasa na hii zuga yao baada ya kututia hasara.

Inakera sana leo hii eti wanataka waaminwe!Basi na wafungwa walioko magerezani nao tunawape nafasi ya kujisahihisha uraiani.
 
Back
Top Bottom