Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Hili ni tatizo kubwa.Wengine wana macho lakini hawalioni.Matatizo ya Mikataba mibovu na hivi kuibiwa rasilimali asilia ni kwa sababu ya kuwa na watu tulioamini wana macho lakini kumbe hawaoni.Kuwa...
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Nakiri kuchelewa kuleta hoja hii hapa. Lakini, mniwie radhi na kunisoma ninachokileta hapa kwa mjadala. Kimsingi, Bunge linaoongozwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Sheria na hasa...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Kwa heshima. Bunge siyo darasa la kuwadhibiti wanafunzi. Hata darasani tunashauriwa turuhusu mawazo yanayopingana na ya mwalimu, sembuse Bunge!!
14 Reactions
61 Replies
5K Views
Ni vema tu wakati tunatafakari mustakabali wa madini yetu na mikataba yake, basi tujikumbushe pia ni kina nani tuliwahi kuwaamini kama taifa na kuwapa dhamana ya kuisimamia sekta ya Nishati na...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Nimeona Mama Mgwira akipewa Ilani ya CCM lakini sijaona akipewa kadi ya uanachama!!Pia sijaona akikabidhi kadi ya chama alichokuwa akikitumikia Hii inanipa wasiwasi nakuniaminisha kuwa alikuwa...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Ni wazi wote tunafahamu kuwa hata mtu alieshitakiwa kwa kosa la kuua, kabla ya kuhukumiwa Mahakama hujiridhisha kwanza kama mtuhumiwa ameua kwa kukusudia au laa. Mimi sio mwanasheria ila sidhani...
3 Reactions
6 Replies
934 Views
Tanzania ina idadi kubwa ya mashirika ya umma yapo ya kiserikali na ya binafsi. Mashirika haya kwa kiwango kikubwa hutegemea sana utendaji mzuri na uwajibikaji bora kwa ngazi ya vituo vyake vya...
0 Reactions
2 Replies
968 Views
Monday, June 5, 2017 ACT up in arms over Magufuli job offers Ms Anna Mghwira In Summary Monday, June 5, 2017 ACT up in arms over Magufuli job offers By Louis Kolumbia @Collouis1999...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
  • Redirect
RC wa Kilimanjaro ndo amekabidhiwa usafiri hii siasa hatari sana
0 Reactions
Replies
Views
Baada ya kugundulika kutaka kutumia jina la baba yake kuanzisha chama kipya Visiwani Zanzibar baada ya kuona nafasi ndogo kwake kuweza kugombea urasi wa Zanzibar 2020 sasa wanaharakati wa Balozi...
6 Reactions
37 Replies
4K Views
  • Redirect
Angekataaje kwa mfano?
0 Reactions
Replies
Views
Nimejifunza jambo kubwa sana leo kutokana na wasifu huu wa mzee "Ndesa Pesa": Kwamba sio kila anayefanya siasa anatafuta maslahi binafsi ya kiuchumi! Hakika Chadema imejaa damu & jasho la huyu...
0 Reactions
3 Replies
706 Views
Najiuliza hivi mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani yupo wapi? Anafanya nini na kwanini yupo kama hayupo? Au anasubiri msiba ajitokeze kulilia mic? Hauwezekani kila uchao wabunge anaowasimamia...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
  • Redirect
Wadau, amani iwe kwenu. Katika Mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA lililofanyika hivi karibuni Mjini Dodoma, moja ya kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na ambayo mpaka sasa...
0 Reactions
Replies
Views
Kwa muda sasa tumekuwa tukisikia ni kwa jinsi gani viongozi mbali mbali wa serikali walivyoweza kujinunulia kampuni mbali mbali zilizokuwa zikibinafsishwa kwa bei ya chini kabisa . Cha...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Naomba kuuliza kwa watu wenye mapenzi mema na CHADEMA hivi Mnyika toka kawa mbunge ameleta maendeleo gan jimboni kwake zaidi ya kelele anazopiga bungeni? Pia ushauri mdogo tu kwa CHADEMA muishio...
0 Reactions
83 Replies
5K Views
Baada ya kazi nzuri iliyofanywa na time ya Prof Mruma, limeonekana hitaji la mikataba ya madini kuwekwa wazi ili wananchi waione na kuijadili. Njia iliyopendekezwa na wengi ni mikataba hiyo...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
WIKI iliyopita Zanzibar iliondokewa na mmoja wa wanawake wake maarufu. Kwa muda wa miaka mingi, Bi Fatma “Jinja,” aliyefariki alfajiri ya Mei 26, akiwa na umri wa miaka 87, alipata umaarufu...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Redirect
Hawa wabunge tuwafanyie maombi. Kwa sababu haiwezekani wao kila msimu wao tu. Kweli waombe msamaha kesi ilikuwa ya JOHN MNYIKA wao wakadandia. Please Halima na Bulaya jaribuni kuwa cool...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kuna wengi wetu wanadai kwamba hali ni ngumu kiuchumi na aliyesababisha ni mh Rais kuna mpaka misemo imejitokeza ,usawa wa magu ,mara anko magu . nashindwa kuelewa watanzania mnataka kitu gani...
1 Reactions
Replies
Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…