Prof. Shivji: Bunge siyo darasa la kuwadhibiti wanafunzi

Inakuwaje pale wabunge wenyewe wanapo behave kama adolescents na kutaka kuligeuza Bunge uwanja wa fisi.

Fungia tu wapeleke wazimu wao mahala pengine.
 
Kwa heshima. Bunge siyo darasa la kuwadhibiti wanafunzi. Hata darasani tunashauriwa turuhusu mawazo yanayopingana na ya mwalimu, sembuse Bunge!!

Hapa ninaona shivji akisingiziwa jambo. Hata kama Shivji kasema haina maana yuko sahihi kwa kila kitu. Ni haki Mbunge kuvuta uniform ya Askari kwa nyuma wakati akitekeleza majukumu yake? Siasa tuweke pembeni na ukweli ubaki kuwa ukweli. Mdee na BULAYA HAWANA MAADILI. NADIRIKI KUSEMA KWELI KUWA WANA VI ELEMENT VYA UKAHABA MAANA KAHABA HAOGOPI KITU NA WALA HANAGA AIBU
 
Kwa heshima. Bunge siyo darasa la kuwadhibiti wanafunzi. Hata darasani tunashauriwa turuhusu mawazo yanayopingana na ya mwalimu, sembuse Bunge!!
Hivi kuna mtu aliwahi kumtukana professa pale kwenye lecture theatre?
 
Nadhani mtani kuna shida zaidi ya Bulaya na Halima,nikisikiliza tena zile kelele zilizojaa chuki,hasira,kisasi najiuliza mara tatu tatu kweli ni kosa tu la kusema tutoke njea au kuna zaidi ya hapo?

Nikiingia ndani zaidi kuna issue ya kukataliwa maeneo si kwa njia ile na ukali ule,mpaka kuamua kuwa HAKIMU sijui kama atakuja kuangalia tena ile clip kwa alichofanya Ijumaa na jana jumatatu
 
Hivi kuna mtu aliwahi kumtukana professa pale kwenye lecture theatre?
Najua unasema nini lakini nikuulize kitendo cha Ndugai kuhangaika eti wale askari wahamishwe mara anapiga mkwara kwamba atakua anawahamisha mpaka akipata kikosi kizuri, mara askari gani wale ivi yeye ni nani katika nchi hii mpaka asumbue watu kiasi hicho? Askari wanamlinda bado anawadhihaki! Anawaona hawana maana.

Kituko kingine ni kusema ningeamua mdee na bulaya wangekamatwa huko Moshi waletwe hapa kwa usafiri wowote, sasa hii inaisaidia nini nchi? Yote anayosema yanahusisha kodi zetu alafu anasema kwa majivuno kama vile atatoa pesa mfukoni kwake
 
Hapa ninaona shivji akisingiziwa jambo. Hata kama Shivji kasema haina maana yuko sahihi kwa kila kitu. Ni haki Mbunge kuvuta uniform ya Askari kwa nyuma wakati akitekeleza majukumu yake? Siasa tuweke pembeni na ukweli ubaki kuwa ukweli. Mdee na BULAYA HAWANA MAADILI. NADIRIKI KUSEMA KWELI KUWA WANA VI ELEMENT VYA UKAHABA MAANA KAHABA HAOGOPI KITU NA WALA HANAGA AIBU
Kumvuta shati askari anayetekeleza majukumu yake kinyume na taratibu kuna ubaya gani? ule ni ushujaa, Mnyika hakupinga lolote mbele ya askari waliokuwa wanatimiza wajibu wao. Sasa maguvu na kuvunjiana heshima vinatoka wapi? ndio maana Sugu alimkata konde askari wa bunge na kumalizia kumpiga kichwa mpaka chini na walishindwa cha kumfanya kwani hawakutekeleza wajibu wao kwa mujibu wa sharia.
 
Back
Top Bottom