KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,679
- 8,866
Nimeona Mama Mgwira akipewa Ilani ya CCM lakini sijaona akipewa kadi ya uanachama!!Pia sijaona akikabidhi kadi ya chama alichokuwa akikitumikia Hii inanipa wasiwasi nakuniaminisha kuwa alikuwa mwanachama wa pande zote mbili ,kitu ambacho hakiendani na katiba yetu inayomtaka mwanacha wa chama chochote anatakiwa kuwa kwenye chama kimoja.
Hivyo na baadhi ya wanasiasa waliopo katika upinzani yawezekana wanamiliki kadi za vyama vingine
Tuwe makini na wahamiaji wa vyama kwani wanakuja kwa malengo yao.
Hivyo na baadhi ya wanasiasa waliopo katika upinzani yawezekana wanamiliki kadi za vyama vingine
Tuwe makini na wahamiaji wa vyama kwani wanakuja kwa malengo yao.