Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Hawa wabunge tuwafanyie maombi. Kwa sababu haiwezekani wao kila msimu wao tu. Kweli waombe msamaha kesi ilikuwa ya JOHN MNYIKA wao wakadandia. Please Halima na Bulaya jaribuni kuwa cool...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kuna wengi wetu wanadai kwamba hali ni ngumu kiuchumi na aliyesababisha ni mh Rais kuna mpaka misemo imejitokeza ,usawa wa magu ,mara anko magu . nashindwa kuelewa watanzania mnataka kitu gani...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Sidhani kama tunampendeza Mungu saaana! Na ndiyo maana hata watu tunadiliki kulilia tupewe viongeleo angalau tuonekane tumeongea, ndiyo maana hata baadhi ya viongozi wa dini wanaacha kusema...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wabunge ndio watunga sheria wetu, na kwa bahati nzuri ubunge siyo utumishi wa umma Bali uongozi wa kisiasa. Naelewa pia wabunge ni walipa Kodi kwa mujibu wa sheria za nchi na hapana shaka yoyote...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwa hali iliyotokea Jana moshi kuna uwezekeno watu wakaomba misiba itokee ili na wao wapate pakuongelea.ukiyasikiliza maneno ya Lowasa Jana anasema wametuzuwia lakini Majengo kumenoga zaidi na...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nimesoma gazetini na kusikia redio kuwa ndugu job ndugai ameamua wale askari ambao walionesha ustaarabu kwa mnyika waondolewe bungeni wapelekwe wilayani. mimi naandika kumtetea huyu askari ambaye...
0 Reactions
Replies
Views
Askari walioagizwa kumtoa, Mbunge wa Kibamba, John Mnyika bungeni Ijumaa iliyopita, wamepangiwa vituo vingine vya kazi kwa kuchelewa kutekeleza agizo la Spika. Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema...
0 Reactions
69 Replies
8K Views
  • Redirect
Hata askari wameshaanza kushitukia baadhi ya amri humo bungeni. Walijiuliza Mara mbilimbli kuhusu amri na sababu ya kumtoa Mh. Mnyika nje ya bunge pamoja na amri ya Mh. Ndugai kuwataka wamtoe nje...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wadau tushirikiani kuwaomba wabunge wa CCM wawaonee huruma wananchi kwani wamekuwa masikini hawana maendeleo yoyote licha ya Nchi yao kuwa Na Rasilimali nyingi.Inashangaza kuona Wabunge wa CCM wao...
0 Reactions
Replies
Views
Wadau, naomba kanuni za bunge zirekebishwe.. Lengo ni kupata spika. Wa bunge ambaye Hana chama chochote Cha kisiasa ili haki itendeke.. Spika yeyote hata Kama angetoka chadema lazima angekuwa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Rais kashafika eneo la tukio na anakagua jengo na mfumo wenyewe. Tayari rais kaingia ukumbini; Pia yupo Makamu wa rais Mama Samia Suluhu Hasan, Rais wa Zanzibar Dr Shein, Waziri wa Mawasiliano...
15 Reactions
265 Replies
30K Views
  • Redirect
Jana aliposimama Gwajima waombolezaji walionyesha wazi kukerwa na mahubiri ya Gwajima.Wengi walitarajia kupata neno la MUNGU la faraja kutoka kitabu kitakatifu cha BIBLIA lakini alipopewa nafasi...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ndugu zangu tuache kudhihaki msiba. Watu wana uchungu na kufiwa ndugu yao ninyi mnapiga Siasa na kuota kuingia Ikulu!! Nendeni kwenye Media mkajitangaze badala ya kusubiri msiba. Muwe na...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Pumzika Kwa Amani Kamanda,
2 Reactions
Replies
Views
Hivi karibuni Rais Magufuli alizuru TBC, akatoa maagizo chombo hicho kitoe fursa sawa kwa vyama vya siasa vyote. Nimesikiliza taarifa ya habari ya TBC, saa 2 usiku wa leo Juni 5. Hakuna lolote...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
  • Redirect
SPIKA WA BUNGE HATOSHI; ANAWASALITI WANANCHI. HADHI NA UKUBWA WA BUNGE KUDHOOFIKA. Kwa mujibu wa Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai, askari hawa kama waonekanavyo katika picha, walikuwa...
1 Reactions
Replies
Views
Baada ya muwakilishi wetu kufukuzwa Bungeni na Mabwana Wale, Nimeona nivema Niandae Msafara wa waenda kwa Miguu na wenye Vyombo vya Moto utakaoanzia either Ubungo Mataa Au Bunju B pale darajani...
11 Reactions
51 Replies
3K Views
Nguvu kubwa inayotumika (vibaraka) kuhujumu juhudi za rais ni wazi kuna mkono wa wawekezaji wanaotuhumiwa kuhusika na wizi mkubwa wa madini kupitia utaratibu wa kusafirisha mchanga wenye madini...
26 Reactions
160 Replies
10K Views
MIHIMILI miwili ya Dola; Bunge na Mahakama, jana ilitoa maoni yake kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba, huku Spika wa Bunge, Anne Makinda akitaka kuwe na mabunge mawili na kupendekeza kuwa Spika...
6 Reactions
47 Replies
5K Views
Back
Top Bottom